Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hana mshipa wa aibu huyu jasusi uchwara.Ulipamba uchafuzi wote kwa hawa jamaa, na hukumu ingefata kile ulichokuwa umekiandika, Wallahi, ungekuwa sasa unashangilia, lkn tunajua unataka hako kajimbo ka ubungo ila next time usioneshe chuki za wazi wazi kwa wenzako kma ulivyo fanya kwa kuwavua nguo. Haya, hukumu ya msamaha imetoka wataonekanaje kwa wananchi kwa uchafu uliowandikia? Utawasafishaje?
Zito anatokea wapi kwenye UZI hu mkuu!?Hivi zito ni CAG?
hawa jamaa si wa kuamini sana, ni waongo na wanafiki kupindukia.Ulipamba uchafuzi wote kwa hawa jamaa, na hukumu ingefata kile ulichokuwa umekiandika, Wallahi, ungekuwa sasa unashangilia, lkn tunajua unataka hako kajimbo ka ubungo ila next time usioneshe chuki za wazi wazi kwa wenzako kma ulivyo fanya kwa kuwavua nguo. Haya, hukumu ya msamaha imetoka wataonekanaje kwa wananchi kwa uchafu uliowandikia? Utawasafishaje?
Alietaka kufukuza wabunge 17 wa kusini kisa maoni ya dhuluma ya pesa za korosho ni nani? Kuna muda mnakua kama funza yani chadema wajifunze dhuluma ya mwenyekiti wa ccm kutapeli pesa ya wakulima? What a joke!!!!Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
wenyeviti wa ccm huwa wanashindanishwa na nani wakati wa uchaguzi?Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
Aliandika makala ya kutia aibu, hii kazi angeiachia kamati, lkn duh?Hana mshipa wa aibu huyu jasusi uchwara.
Sasa tungekwenda kwenye uchaguzi unafikiri mgeshinda hayo majimbo tena?Ruzuku hapungui kwa mbunge kujiuzulu wewe mburula.
Wameogopa ndiyo, ila ndo walishawaharibia plan za kisiasa hawa jamaa, 2020 hawarudi hawaKwa Makosa Yalifanywa Na Kubenea na Komu Kupewa Onyo tu Haitoshi Nimegundua CHADEMA kuna Shida Sehemu Nimewaza Hapa Wameogopa Kuonekana Kila Anaepingana na Mbowe Anafukuzwa Kwenye Chama
Hivi ni ka wapi?katakuwa kamejichimbia shambani kwake. Ila mimi siku hizi baada ya kuwaona hawa jamaa (Mtatito, Waitara, Mwita wa serengeti) sina imani tena na wanaume wa mkoa wa Mara.
hako ni ka butiamaHivi ni ka wapi?
Na yale alokuwa amepanga Yericko unayachukuliaje?Anyway, busara imetumika na ninakubaliana na maamuzi hayo ya kiutuuzima.
Hizi busara mbona hazikutumika kipindi kile cha Zitto? Shida ni mahesabu ya Ruzuku hahahahaha acha mchezo na MboweKamati kuu imetumia busara kinachotakiwa waombe radhi kwa maandishi waahidi kutorudia, ila watambue hakuna aliye mkubwa kuliko chama.
Ndio lengo lao kuu, wangefukuzwa saa hizi Lumumba wangeshaanzisha si chini ya thread 20 kumuhusu Mbowe ni dikteta.Ulitaka waondolewe alafu muanze kuwatumia kuchafua upinzani!
Makosa hayafanani after all wamekiri kosa na kuomba wasamehewe, Zitto hakukiri bali alikimbilia mahakamani.Hizi busara mbona hazikutumika kipindi kile cha Zitto? Shida ni mahesabu ya Ruzuku hahahahaha acha mchezo na Mbowe
Kwamba umeshindwa kweli kuelewa?Au habar za 1.5 zinatokea wapi kwenye uzi huu?Zito anatokea wapi kwenye UZI hu mkuu!?