Hilooooo hata haichekeshi. Jichekesheni hapo wewe na hawara ya bibi yako mzaa babu yako."Mimi ni kama binadamu Kama wengine nahitaji Konyagi ili ni survive,sasa nyie mnataka tuwafukuze wao watakula wapi? kama mlishindwa kuwatetea walipo fungwa mtawasaidia kwenye nini? na nimegundua wa Tanzania wengi wanajificha nyuma ya keyboard, sasa kama mpo hivyo nendeni kwa Rais wenu Rais wa jamhuri ya twira Kigogo. i(n mbowe voice)
Vipi yule aliekimbilia nchi za nje,anaetembea kama Tipa inabinua mchanga? Yeye atakuwa anakunywa nini?Bora mnywa konyagi kuliko Hilo zee lenye betri kwenye moyo, sijui anatumiaga kilevi gani, Kama siyo Gongo!!
Mwisho wa siku atarudi mulemule😂Story ndefu atueleze wameamua nini sio maneno mingi
Kila mtu anajua uhuni wa CCM....yaani ni aibu kubwa mno hasa kwa Katibu Mkuu aliyekuwa na heshima kubwa na muumini wa falsafa za Mwalimu ila sasa hivi kageuka mpiga dili za kijinga...too sad!!Hapa mroho na lofa ni yupi sasa? Aliyehonga au aliyehongwa na akakubali?
Anakunywa maji ya u chi wa m keo.Vipi yule aliekimbilia nchi za nje,anaetembea kama Tipa inabinua mchanga? Yeye atakuwa anakunywa nini?
Fanya upesi basi Mkuu kwani tunataka kusikia tu Upuuzi wao wa Kimaamuzi ili tulale na hatimaye Kesho hawa Wabunge tuwakaribishe rasmi CCM.Mtandao unasumbua ntaanza kuweka updates muda huu
Mtayaona sanaaaaHamna kitu apo
Sikijui kweli. Asante kwa kunifundisha na kukubali hoja yangu.Unajenga hoja vizuri ila kiswahili hujui. Sijaona muunganiko wa hiyo hoja yako "Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya"?
Nadhani ulipaswa kuandika "hukubali" na si "ukubali". Na usijaribu kusema ni typing error, hicho kichaka mmejificha sana tunakijua. Sana sana ishia kimya kimya, shule za kata tunazijua zilichofanya.
Ngoma inogileKumekucha Sasa Hivi
NEC
Bunge
DPP
POLICE
PCCB
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari.
22:08
Bado Viongozi wa Chadema hawajafika ukumbini
Mkutano huo utakuwa live kupitiaTayari Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshafika ukumbini
Tunawashukuru Watanzania wengi ambao wanafuatilia kikao maalum cha ajenda moja ya kujadili, kushauriana na kutafakari juu ya wanachama wetu 19 waliokwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum- Freeman Mbowe
"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; MboweView attachment 1636307
View attachment 1636307