Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kama Viti maalum NEC wamechakachua Basi tuamini tu na matokeo mengine ambayo kura ilikuwa Ni Siri yalichakachuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri nyumbu Ni chakula Cha Simba MaguEti NEC waghushi, wajumbe wa kamati kuu waarifiwe, waende Dodoma, wakubali kuapishwa kuwa wabunge!! Inaingia akilini kabisaaa! ????? Kweli nyumbu ni nyumbu tu!
Uko vizuri kukubali mapungufu, tuko pamoja mkuu.Sikijui kweli. Asante kwa kunifundisha na kukubali hoja yangu.
Unaleta upumbavu, sema hatua gani mmewachukulia? Au hayo maneno yanawatosha nyumbu?-"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
Kwahiyo? Mmeshindwa Cha kuwafanya?-“Chama chetu hakijateuwa Wabunge wa Viti Maalum lakini tunaona wapo Bungeni wanaapishwa”-Mbowe
Nimecheka kidogo nipaliwe. Wanasiasa ndivyo walivyo, vumilia tu atafikia hitimisho tu.Naona anazunguka sana huyu dingii, alete maamuzi siyo story.
Maamuzi gani ya Chadema? SEMA hayo maamuzi.Baada ya maamuzi haya Chadema imekuwa bora zaidi kuliko awali, imejipambanua kwa matendo juu ya madai yake ya kukiukwa kwa kanuni za msingi za uendeshaji wa chaguzi zetu na ukandamizaji wa haki za binadamu.
Ni katika hili, mimi binafsi na mamilioni ya watanzania tunapoitaka chadema kuitisha harambee ya kuchangia fedha ili kuonesha furaha zetu.
Fedha hizo zitatumika kwa jinsi chama watakavyoona inafaa.
Viva chadema2020. - Imeisha hiyo.
Sasa turudi kwenye kashfa ya fedha za corona. Maana European tax payers wanataka maelezo huko.
Duuu.. watu mnataka achinje bila kuswalia!!!?Mwamba maliza biashara.... Msiba HATUSAFIRISHI
Tanzania imefukuza Covid 19Maamuzi gani ya Chadema? SEMA hayo maamuzi.
Subiri hutuba iishe funga libakuli lakoKwahiyo? Mmeshindwa Cha kuwafanya?