Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Crimea ulipata wapi hizi habari Leo asubuhi asubuhi???

 
Ngoza ndugu zangu, wasaliti wameshapigwa spana za kichwa?
 
Jumatatu Wiki ijayo wataenda Kuyapinga Maamuzi haya Mahakamani tena kwa Hoja kabisa ambapo kwakuwa wana Legal Guru kama Halima Mdee haya Maamuzi yao yatatenguliwa. Kesi yao ( Shauri lao ) ikiwa inaendelea ( linaendelea ) bado watatambulika kuwa ni Wabunge ambapo huenda sasa Kesi yao ikawa inarushwarushwa tarehe za mbali ambapo Hukumu yao ya mwisho itatolewa Oktoba 2025. CHADEMA mmejimaliza Wenyewe.
 
Subiri hutuba iishe funga libakuli lako
Mjinga wewe mwenye bakuli huyo mlevi, nyumbu mmeambiwa na mwenye saccos hawawatambui hao covid 19.
Hayo maamuzi kwa ajili ya nyumbu tu HAKUNA adhabu yoyote.
Halafu mtatapatapa kwa kushangilia mr dj zero kwa kusema tu hawawatambui!
 
Hizo pesa waambie tulitumia kupambana na corona mpaka ikatukoma, ikatokomea ilikotokea. Tunawashukuru sana.
 
“Kamati Kuu imewavua dada zetu hawa nyazifa zote za uongozi na Mamlaka ndani ya Chama, kamati kuu imeona wamepoteza sifa.”@freemanmbowetz
 
Hakuna maajabu hapo😂😂😂 imeisha iyooo
 

Vipi kwani chamwino kuna vpn pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…