Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Ndo imeishia hapo?
 
Hawana haja na uongozi, haha yao NI ubunge na uanachama. Kama mmewavua uongozi na mmewaacha ni wanachama wanauwezo wa kugombea Tena.
Njaa mbaya.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Wamevuliwa uongozi.. lakini ni wanachama.. well played. 🙂
 
Mjinga wewe mwenye bakuli huyo mlevi, nyumbu mmeambiwa na mwenye saccos hawawatambui hao covid 19.
Hayo maamuzi kwa ajili ya nyumbu tu HAKUNA adhabu yoyote.
Halafu mtatapatapa kwa kushangilia mr dj zero kwa kusema tu hawawatambui!
Nyumbu walitegemea Dj atawafukuza kumbe Dj kabadili biti tu ila cd ni ile ile
 
Kuendekeza uvunjaji wa sheria, kanuni na taratibu tulijiwekea kama nchi ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu. Nchi yoyote hujiita Taifa kwa sababu ya sheria na kanuni mbali mbali. Ni sheria hizo huweka umma katika utulivu( public order). Bila public order, hata mwenye nguvu hushindwa kutawala.
Mimi nashauri tusiendekeze sana uvunjaji wa taratibu zinazoleta order yoyote iwe ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni au kijamii.
Wanasiasa wetu waache kufikiria haki ya sasa tu. Nchi ipo hata kesho na kesho kutwa.
Figisu za kisiasa zaweza kufanyika bila uvunjaji wa national order and arrangements.
 
-"Kamati kuu imewavua nyadhifa zao zote ndani ya chama na kuanzia sasa wasijihusishe kwa namna yoyote na masuala ya chama. Wako waliokuwa viongozi Bawacha na wengine Bavicha. Kamati tendaji za mabaraza hayo zikutane kujaza nafasi hizo-; Mbowe
 
-"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
 
Wamevuliwa uongozi.. lakini ni wanachama.. well played. 🙂
Dj anajua kumix mziki wake. Ndio imeisha hiyo tusubiri baada ya miaka miwili kila mmoja atarudi kwenye wadhifa wake
 
Mbowe hana uwezo wakuwafukuza bado ana hitaji ruzuku zao.
Alichokifanya Mbowe ni kunawa uso wakati miguu inamatope then akapanda kitandani akalala
Hii kali.. Imebidi niwe makini kucheka maana mbavu hazina spare.
 
#BREAKING:Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua Wanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge wa Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
 
Wamevuliwa uongozi.. lakini ni wanachama.. well played. 🙂
Ni sawa na Kusema umetengena na Mkeo kwa Kutokulala nae ila bado unaendelea Kukaa ( Kuishi ) nae Kwao na Kumuhudumia je. nani ni Juha?
 
hakuna rais kituko kama huyu tuliye naye sasa.anawezaje kulazimisha CHADEMA kuteua viti maalum wakati ni yeye aliwaonya MADED(majitu yaliyokufa) kutowatangaza wapinzani

Najutia chato kuwa ndani ya mipaka ya Tanzania
 
Hotuba ndeefu, kumbe upuuzi tu! DJ busara itoke wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…