Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Nyumbuuuuu, hahahaha, labda wewe ni nyumbu mwenye akili. Naomba niulize, kuazimia na kuamua ni kitu kimoja? Nisaidie jibu angalau na wewe uniite nyumbu mara moja japo dunia nzima nyumbu wanajulikana ni akina nani
 
hii inaonyesha level ya education yako!

Subir uone ww polisi wataenda kumkamata mbowe kwa kosa la kuliita bunge geriji

Siasa za hii nch hapana alieshika dola ndio kila kitu
 
Jtatu wanakwemda mahakamani na DPP wakidai kwamba hawakupata nafasi ya kusikilizwa...


...
 
Magufuli na CCM yao wanaweza kufanya lolote ili mradi wapate wakitakacho kujipatia;

å Amani ya muda
å Raha ya muda
å Furaha ya muda
å Madaraka na nguvu za kimamlaka za muda..

Kanuni na sheria na katiba hazina haja kwao...

Kubwa lao Jiwe alishasema zinawashelewesha kupeleka mandeleo kwa wananchi...!!

We are living like animals like those lived in nation called ANIMAL FARM..

Tanzania kwa kasi kubwa tunaanza kugeuka kama ANIMAL FARM.
 
ha
haya ndo maamuzi sasa ya Chama na hiki sasa ndiyo chama cha Siasa kilichokomaa kisiasa na si kidola. ni heri kukabiliana na matokeo ya mbinu chafu zozote zitakazochukuliwa na dola sababu ya uamuzi huu kuliko kuendelea kubakia na hawa wanawake. chadema mngefanya kosa kuwasamehe mngejipoteza. mmecheza karata vizur hata kama mtateseka kwa muda fulani kukosa ruzuku kidiketa ni heri mara alfu moja, kumbukeni kuwa kuliko kuwa huru ndani ya ubaguzi wa rangi na uonevu wa wachache dhidi ya wengi, mandela nelson madiba alichagua kukaa gerezani miaka 27 na alipotoka akalikomboa Taifa lake. wananchi tumewaelewa cdm na dunia imewaelewa. Hongereni Sana!! hongera sana Mhe Mwenyekiti wa Chama. Mbowe una kipaji sana vizazi vijavyo vitakukumbuka
 
Mnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni

Ulijiunga hapa jukwaani mwezi wa tisa ili uwe unaoongea huu uzushi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…