Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Nasrat; ulikuwa ndani miezi kadhaa; umetolewa usiku kwa ulinzi mkali... hukujua.lolote zaidi ya kukutana na deal mezani..

Nadhani hukupata hata nafasi ya kutafakari zaidi ya kuambiwa kesho ni kuapa kwamba unakuwa mbunge. Hata mimi ninge panic.. toka gelezani hadi kuwa mbunge looh


Nimekuombea msamaha kwa kamati Kùu kwamba achana na huo ubunge wa kupewa think about ur future ..think about ur political status...

Jiongeze!! To me ur stil innocent and u still have political future with opposition.
 
Naona chupi uliyo nunuliwa na shemeji yako inakubana.
 
Sasa nimeamini bila shaka kabisa kwamba Halima na Esther huwa wanapakenyuana!
 
Baada ya kusikiliza kile kilichoitwa maamuzi ya kikao cha kamati kuu haya ndiyo nimejionea.

1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.!

2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.!

3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.!

4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!

Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?

Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?

Mbona Zito Kabwe na Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa hawakupewa nafasi ya kuomba radhi na kurudishiwa uanachama wao?

Hapa kuna sinema inachezwa na ndani ya siku 30 tutaona matokeo yake, kama mtu alikuwa tayari kutengeneza igizo la kuangushwa na konyagi na kisha kusingizia wasiojulikana, hapa kuna mengi yanakuja.
 
Mbowe msanii sana

Kawavua Nyadhifa hajawavua Uanachama

Sasa Mtu kama Nusrat Hanje aaache Ubunge kwa ajili ya nafasi ya Ukatibu wa bavicha aliyokuwa nayo?
kwani mnawahitaji wa nini hao MAGUNZI WAPINGA MAENDELEO? jamani hizi sarakasi hizo trilion 2 zitatoka kweli au hizi habari hazifiki Brussels kwa mabeberu ya EU?
 
Jumatatu Wataenda High Court
Halafu Ndugai Atawakumbatia Mpaka 5 Years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…