Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na Kusema umetengena na Mkeo kwa Kutokulala nae ila bado unaendelea Kukaa ( Kuishi ) nae Kwao na Kumuhudumia je. nani ni Juha?
imebaki stori !Mkuu; bado siamini Mdee kunasa tundu bovu kiasi hiki...laah
Naona chupi uliyo nunuliwa na shemeji yako inakubana.1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.
2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.
3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.
4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!
Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?
Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?
Hotuba ndeefu, kumbe upuuzi tu! DJ busara itoke wapi?
Niko njiani nawahi dom kumpelekea jobu dawa sukari imeshuka sanaCovid 19 out
Sasa nimeamini bila shaka kabisa kwamba Halima na Esther huwa wanapakenyuana!Halima kumbe ur too low like this! Nilitokea kukuamini sana sana kwamba wewe ni kamanda mkuu pale CDM hadi wanachama wakawa wanakupa chepuo uukwae uwenyekiti 2025.. alaaa kumbe we famba...boya!!
Unashawishika na Mashinji na Polepole hawa zero brain huku wakimtumia Bulaya kukunasa kwenye tundu bovu kweli; watanzania wengi hawaamni nini kimekupata...Bulaya kakumaliza kisiasa...deal done!! Pole sana dadangu kipenzi.
..
😆😆😆Naona chupi uliyo nunuliwa na shemeji yako inakubana.
Maotea yatajimaliza yeyeSasa wanachadema tuijenge chadema yetu upya
Mimi niko hapa kwa John nimekuja kurekebisha yale ma-AC yamegoma hayapeleki upepo!Niko njiani nawahi dom kumpelekea jobu dawa sukari imeshuka sana
Wakati ule hawakua desparate na mshiko kutoka EU.Angeanza na wale wa CUF Maalim
kwani mnawahitaji wa nini hao MAGUNZI WAPINGA MAENDELEO? jamani hizi sarakasi hizo trilion 2 zitatoka kweli au hizi habari hazifiki Brussels kwa mabeberu ya EU?Mbowe msanii sana
Kawavua Nyadhifa hajawavua Uanachama
Sasa Mtu kama Nusrat Hanje aaache Ubunge kwa ajili ya nafasi ya Ukatibu wa bavicha aliyokuwa nayo?
Hamna kitu apooo, zaidi ni hasira na jazba za mwenyekiti nawafuasi wakee. Ngoja tuoneee nao hawatokaaa kimyaaa