Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

What I know is, Every politician has a promising career. Unfortunately, most of them do not keep those promises.
 
Sawa, maoni yako yaheshimiwe. Mimi ya kwangu ni kwamba hizo hatua zote zinaonesha kwamba kweli CHADEMA kuna demokrasia na walijitahidi sana kutaka hao Dada na mama zetu watendewe haki.
 
sasa atarudishaje mil 600 alizowekewa benki ?
 
Nyumbu wa Lumumba, Pole pole anakuchora tu jinsi unavyojipaka mavi!!
Subiri waandike barua ya kuomba radhi na warejeshewe uanachama wao alafu wewe uendelee kupiga miayo hapo ufipa.
 
View attachment 1636344
Taarifa rasmi ya chama hiyo
Tatizo lako huelewi hata hatua ambazo inatikiwa uzikamilishe mtu kumvua uanachama.

"CDM iliwapokea kina Sumaye na lowassa pasipo kutambua kuwa hawakuwa wamekamilisha hatua zote za kuvuliwa uanachama wao na ndo maana hata baada ya kurudi CCM hawakupewa uanachama mpya Bali kuendelea na uanachama wao".

"ACT wazalendo wamepokea jasusi mbobevu pasipo kutasimini hatua za kuvuliwa uanachama wake wa CCM na hata haijui kuwa Membe bado ni mwanachama hai wa CCM na hata kadi yake bado ipo hai mpaka sasa".

"Leo Mbowe katangaza kuwavua uanachama hao wanawake pasipo kufuata hatua angalau hata mbili zilizopo kwenye katiba ya chama zinazoeleza mtu kumvua uanachama".

Swali kwako mkuu;
Kama wamevuliwa uanachama kadi za chama wamenyang'anywa?
Je hujui mpaka sasahivi kwa kutumia hizo kadi Wanaweza kuzitumia kwa shughuli yeyote Ile ikiwa inahitaji chama "CDM"?

Ni vigumu Sana kuielewa siasa kwa Akili ya kawaida you have to think beyond the human ability.
 
Hata mkiwafukuza wataendelea kuwa wabunge kwa miaka mitano na kabla ya uchaguzi 2025 wote watajiumga na CCM kwa hiyo Mbowe hujafanya kitu.Unatukana bunge kwamba ni gereji,hii ni lugha chafu kwa mtu kama wewe uliyekaa bungeni muda mrefu tena ukiwa na wadhifa.Sina shaka utaitwa kwenye kamati ya maadadili kwa kulinajis bunge.
 
Sawa waliapishwa Bungeni, ila wameshavuliwa uanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…