ha
haya ndo maamuzi sasa ya Chama na hiki sasa ndiyo chama cha Siasa kilichokomaa kisiasa na si kidola. ni heri kukabiliana na matokeo ya mbinu chafu zozote zitakazochukuliwa na dola sababu ya uamuzi huu kuliko kuendelea kubakia na hawa wanawake. chadema mngefanya kosa kuwasamehe mngejipoteza. mmecheza karata vizur hata kama mtateseka kwa muda fulani kukosa ruzuku kidiketa ni heri mara alfu moja, kumbukeni kuwa kuliko kuwa huru ndani ya ubaguzi wa rangi na uonevu wa wachache dhidi ya wengi, mandela nelson madiba alichagua kukaa gerezani miaka 27 na alipotoka akalikomboa Taifa lake. wananchi tumewaelewa cdm na dunia imewaelewa. Hongereni Sana!! hongera sana Mhe Mwenyekiti wa Chama. Mbowe una kipaji sana vizazi vijavyo vitakukumbuka