Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Mumechemushaaaaa. Maaamuziiii yenu niyakibabeee, kuwakandamiza wanawake na kuwanyanyasaaa. Mumefanya unyanyasaji mkubwa.Watu 19 wawe na sababu moja? Wakate rufaa au wahamie ccm huko kuna vyeo vingi tu.
Naunga mkono hoja yako kwa 100% bila Mbowe kuwafukuza covid 19 wanandungai leo chadema ingefariki ghafla na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya Lipumbaha
haya ndo maamuzi sasa ya Chama na hiki sasa ndiyo chama cha Siasa kilichokomaa kisiasa na si kidola. ni heri kukabiliana na matokeo ya mbinu chafu zozote zitakazochukuliwa na dola sababu ya uamuzi huu kuliko kuendelea kubakia na hawa wanawake. chadema mngefanya kosa kuwasamehe mngejipoteza. mmecheza karata vizur hata kama mtateseka kwa muda fulani kukosa ruzuku kidiketa ni heri mara alfu moja, kumbukeni kuwa kuliko kuwa huru ndani ya ubaguzi wa rangi na uonevu wa wachache dhidi ya wengi, mandela nelson madiba alichagua kukaa gerezani miaka 27 na alipotoka akalikomboa Taifa lake. wananchi tumewaelewa cdm na dunia imewaelewa. Hongereni Sana!! hongera sana Mhe Mwenyekiti wa Chama. Mbowe una kipaji sana vizazi vijavyo vitakukumbuka
Naunga mkono hoja yako kwa 100% kwani bila chadema kuwafukuza ingekufa kifo cha ghafra kama UDP DP TLP NCCR na CUF ya LipumbaHaya maamuzi yamenifurahisha kwa kiwango cha juu sana. Waende ccm wakapewe hiyo backup waliyoahidiwa, lakini cdm imecheza Heko kwa faida ya chama.
Dharau za mdee kwa Uongozi wa chadema ndizo zimewamaliza covid 19 wanandungai-"unaitwa mbele ya kamati kuu, unasema upewe muda wa kutafakari? wakati unakwenda kuapa mbona hukutafakari"-; Freeman Mbowe😂😂😂
I hope you're dead now!Mbowe hana uwezo wakuwafukuza bado ana hitaji ruzuku zao.
Alichokifanya Mbowe ni kunawa uso wakati miguu inamatope then akapanda kitandani akalala
Kwani CCM ni chademaa?? Mmewaonea kwa kuwa ni wanawakeee. Maaana sababu wamezitoa na wameomba ifanyike siku nyingine maaana kiukweli mazingira hayakua salama kwao, watu walikua na hasira na Mbowe akasema mazingira yalikua salama na huku wafuasi wengi wachadema waliandamana huku wakiwashikia mabango yaliyokuwa na matusi ya kuwalinganisha na gonjwa baya la korona covid 19. Hivyo mazingira hayakua salama kwao. Kamatii kuuu ilipaswa iahishishe mpaka hapo wao walipo omba wafike mkutanoni.Walivyoenda kuapa walipata muda wa kujieleza,ccm akili zenu huwa mmezikalia
Alafu umejiita jina la mtu aliyekuwa na bonge la IQ dah! So sadhafukuzwi mtu hapo
Njaa zao wamesahau kuwa kuna wanachama zaidi ya 400 wa chadema wapo jela kwa kesi za kubambikiwa kipindi cha kampeni wao hawajali hilo wameamua kujitoa fahamu zote kuangalia matumbo yao binafsiMdee, Salome Makamba na Matiko tuliona clip walivyonyanyasika. Salome alifuatwa na ocd nyumbani kwake usiku akitaka kumbambikia kosa kwamba alichana picha ya mgombea urais wa ccm. Mdee alisimamishwa kampeni, Matiko tabu pia kapata hadi kutukanwa. Hawa wote ni wasomi lakini hawajitambui. Mama Kaboyoka ni mtu mzima sana kuliko wenzake wote lakini kaweka tamaa mbele pia.
Membe mlimpa nafasi ya kujitetea,mwenyekiti alikuja na uamuzi mfukoni...kama mnauchungu nao sana wachukueni kwenye zile nafasi 10 za mekoKwani ccm nichademaa?? Mumewaonea kwa kua niwanawakeee. Maaana sababu wamezitoa, na wameomba ifanyike sikunyingine maaana kiukweli mazingira hayakua salama kwao , watu walikua na hasira na mbowe akasema mazingira yalikua salama na huku wafuasi wengi wachadema waliandamana huku wakiwashikia mabango yaliyokuwa na matusi ya kuwalinganisha na gonjwa baya la korona covid 19. Hivyo mazingira hayakua salama kwao. Kamatii kuuu ilipaswa iahishishe mpaka hapo wao walipo omba wafike mkutanoni.
Wana siku thelathini za kuomba msamaha. Ila kama wanaona wameonewa, wana siku hizo hizo thelathinu za kukata rufaa na kupeleka suala lao kwenye Baraza Kuu la chama kilichokuwa chao. Aidha, wanaweza kwenda Mahakamani kukishitaki chama kilichokuwa chao kwa kutowatendea haki. Mahakama inaweza kutoa zuio ambalo litadumu kwa miaka mitano. Njia rahisi katika zote ni kumsikiliza Spika atakachosema na kujiunga na wakina Silinde na Mollel bungeni kutetea wananchi wa taifa letu la Tanzania. Baada ya miaka mitano wataweza kuwafuata wenzao rasmi kwenye chama cha Spika.Mumechemushaaaaa. Maaamuziiii yenu niyakibabeee, kuwakandamiza wanawake na kuwanyanyasaaa. Mumefanya unyanyasaji mkubwa.
Hili swala la Nusrat Hanje, milele DPP Biswalo hawezi kuliongelea, ni kitendo cha ajabu kupita maelezo.Kuna mtu ameandika swali zuri Sana kwenye Uzi Fulani ANAOMBA USHAHIDI WA CHADEMA KUMPENDEKEZA MAHABUSU AKAWE MBUNGE PIA APATIWE BARUA YA DPP INAYOTOKA CHADEMA ILI MAHABUSU AKAWE MBUNGE hivi mapenzi haya ya CCM kwa chadema yameanza lini Yani MAHABUSU wa chadema amepewa ubunge khaaaaaa kwa huruma ipi?
Do not solve the problem in crysis situation. Mumekurupukaaa.Wewe na Ndugai akili moja..hamjapona ugonjwa wenu.
Kitendo cha kuitwa covid 19 maana yake hawakutenda vitendo vizuri kwenda kuiba nyaraka kughushi kujiteua ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku wanachama wa chadema wapo jela kwa kesi za kubambikiwa kipindi cha kampeni ndicho kimepelekea watanzania kuwachukia wakike 19 wanandungai kwa kipimo cha kutisha mno, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kabsa anaweza kukaa kuwatetea akina mdee waganga njaa pasipo kujali wanachama wanaoteseka magerezaccm kwa kuwatetea waoKwani ccm nichademaa?? Mumewaonea kwa kua niwanawakeee. Maaana sababu wamezitoa, na wameomba ifanyike sikunyingine maaana kiukweli mazingira hayakua salama kwao , watu walikua na hasira na mbowe akasema mazingira yalikua salama na huku wafuasi wengi wachadema waliandamana huku wakiwashikia mabango yaliyokuwa na matusi ya kuwalinganisha na gonjwa baya la korona covid 19. Hivyo mazingira hayakua salama kwao. Kamatii kuuu ilipaswa iahishishe mpaka hapo wao walipo omba wafike mkutanoni.
hahahahaha halafu hata wakitembea barabaranimbuzi akisema meeeee wataona anwazomea..kwa kifupi kama lengo la hawa kuwepo pale ni kuonyesha kwamba hii nchi ni ya vyama vingi ya kidemokrasia tayari lengo limefeli hata wakipewa u naibu waziri ili wawe safe side wahamamie tu ccm wakaseme ccm oyeeJumatatu Wataenda High Court
Halafu Ndugai Atawakumbatia Mpaka 5 Years
Huelewiii chochote. Hata maada hujasoma ukaelewaaaa.Kitendo cha kuitwa covid 19 maana yake hawakutenda vitendo vizuri kwenda kuiba nyaraka kughushi kujiteua ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku wanachama wa chadema wapo jela kwa kesi za kubambikiwa kipindi cha kampeni ndicho kimepelekea watanzania kuwachukia wakike 19 wanandungai kwa kipimo cha kutisha mno, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kabsa anaweza kukaa kuwatetea akina mdee waganga njaa pasipo kujali wanachama wanaoteseka magerezaccm kwa kuwatetea wao