Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Nafasi zao zizibwe haraka msifanye makosa ya akina Julius mtatiro kwa Lipumba
 
Kukua kwa CHADEMA hakuhitaji mikakati kihivyooooo.Kinakua automatically kulingana na watu kutoridhishwa na mwenendo wa serikali iliyopo madarakani.Hivyo kukua kwa CHADEMA ni kugusa tu.

Hakuna kitu kama hiki kwenye siasa ukuaji wa chama chochote unahitaji mpango mkakati CDM kilitakiwa muda sana kuwa kimehama kutoka chama cha harakati kuwa chama kinachoaubiri kuongoza dola.
Huwezi kuvuna sehemu ambayo hujawekeza!
 
Wamefanya makosa,wanaitwa hawaendi kwa dharau!Watu wa hivyo ni kheri kuwafukuza maana wakishajiona wana mapembe kuliko chama ni hatari!

Waliitikia wito lakini wakasema hawawezi kufika Makao Makuu kwa sababu za kiusalama.
Hivi unaweza kusema kweli kuwa haya masaa yanatosha kufikia maamuzi ya kufukuza asilimia 90% ya uongozi wa BAWACHA.
 
hahahaaaa sasa hapo ndio hadithi inaanza,mngeandamana mshachapwa na kuvunjwa migoko saizi jamaa wanaleta hizi hadithi ,mnakua mmewazulumu wanenu,wazazi wenu kwa upuuzi wa watu wachache.
kuwa mwanaharakati wa kupigania maisha sio chandema or Yanga or Aston villa or manchester we utakua pumbavu sana
 
You nailed it👏👏👏👏👏
 
TWENDE MBELE NA KURUDI NYUMA,
INAWEZEKANA SAINI NA MIHURI YA CHAMA CHA CDM HAIJAGUSHIWA.

HALIMA NA WENZAKE HUENDA WAMEFANYA HAYA,

1) UWEZEKANO wa kurubuni masekretary wa Katibu MKUU Na akawapa Muhuri wakajigongea kwenye form zao.

2) UWEZEKANO wa form walizopelekea chadema na NEC ambazo wanadai zipo OFISINI Hadi Sasa ,Zikawa ziliscaniwa na kuprintiwa ,Orgino wakachukua wakawaachia ZILE walizoscani wao.

3) UWEZEKANO wa kuscani SAINI ya Mnyika na kuinsert kwenye hiyo form zao pia upo mkubwa.

MAONI YANGU.

1) UKIPEWA OFISI TEMBEA NA FUNGUO ZAKO NA MIHURI YAKO.

2) USIMWAMINI KILA MTU UKAMRUHUSU AINGIE OFISINI KWWKO BIKA WEWE AU UKAMUAMINI MSAIDIZI WAKO KUPITA KIASI.

NOTE:- CHADEMA UCHUNGUZI UANZIE OFISINI KWENU.HIZO FORM MNAZODAI MNAZO NDIZO ZENYEWE??

HIZO MIHURI NA SAINI YA KATIBU MKUU NDIZO ZENYEWE?? MKIKUTA NDIZO ZENYEWE MDILI NA MNAOWAACHIA AU KUWAKASIMISHA OFISINI NA HILI LIWE FUNZO KWENU.

UKUPIGAO NDIO UKUFUNZAO.😃😃😃🙌🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴
 
Waliitikia wito lakini wakasema hawawezi kufika Makao Makuu kwa sababu za kiusalama.
Hivi unaweza kusema kweli kuwa haya masaa yanatosha kufikia maamuzi ya kufukuza asilimia 90% ya uongozi wa BAWACHA.
Usalama upi kwani kulikua na vita? Kwahio kikao kingefanyikia wapi
 
Kimsingi kwa maamuzi ya KK, CHADEMA wana point 3 muhimu ku win mioyo ya wanachama na wananchi walio wengi! Nashauri CHADEMA iendelee na strategic move, mobilize BAWACHA nchi nzima, plant new roots, strangle any propaganda from the second & third party!
 
mihuri inachongwa hapo Kariakoo
 
Hahahaha, jamaa wana hasira hatari, haya ngoja niagize faru John nikimsubiri mwenyekiti wa kudumu tuhangaike nayo..
 
Hakuna kitu kama hiki kwenye siasa ukuaji wa chama chochote unahitaji mpango mkakati CDM kilitakiwa muda sana kuwa kimehama kutoka chama cha harakati kuwa chama kinachoaubiri kuongoza dola.
Huwezi kuvuna sehemu ambayo hujawekeza!
Vyama vya upinzani nchini vinaboreshwa na ubovu wa serikali.Huu ndo msingi mkuu wa ukuaji wa vyama vya upinzani.Kama serikali ikiamua kusimama barabara katika HAKI nakuhakikishia vyama vya upinzani vitabaki majina tu.
 
Waliitikia wito lakini wakasema hawawezi kufika Makao Makuu kwa sababu za kiusalama.
Hivi unaweza kusema kweli kuwa haya masaa yanatosha kufikia maamuzi ya kufukuza asilimia 90% ya uongozi wa BAWACHA.
Unataka wasaliti wapewe masaa mangapi mkuu?.Binafsi hata kuwaita tu naona bado ni uungwana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…