Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Pumbaaaaaaf mkubwa wewe.Who is Magufuli by the way? He gonna die like any human being in this world! It's Just a matter of time!!Huyo mnywa konyagi ndo ampe presha Magufuli?
Iweje useme ni kijinga na kiguni huku unafoji hata sahihi za viongozi wao! U stiff necked foolsChadema Inaendeshwa Kijinga na Kihuni sana
Pale wapo Wapo tu
Katiba unayoinukuu inatoa mwanya wa "kuminya haki za raia?
Je,Katiba hiyo inalazimisha raia kushiriki asichokikubali?
Katiba ipi inaruhusu na kulinda wanaoivunja wazi wazi bila kuwajibishwa?
Kila kitu kina utaratibu,na taratibu zikikiukwa na wahusika kuna hatua za kuchukua.
Unajua wabunge wa viti maalumu wanapatikanaje,mamlaka husika hufanyaje ili wakidhi matakwa ya sheria na Kanuni ili wawe halali?
Je,taratibu zimezingatiwa ktk kupatikana na kuapishwa kwao? Au kwa vile ni CDM ndiyo tatizo kwa vile hawajakubali "kuonewa na kuunga mkono"juhudi" uchwara?
NB. Kama Membe alijaribu tu kutumia haki yake ya kuchagua na kuchaguliwa akafurushwa (kwa kifungu kipi cha Katiba?) huoni tatizo sembuse mambo ya wazi na bado unaona wabaya na wakosaji ni CDM,basi kuna tatizo kubwa ktk kuchambua,kutafakari na kufikiri. Haya ndiyo madhara ya "elimu bure!" KWELI NI BURE KABISA.
Katiba unayoinukuu inatoa mwanya wa "kuminya haki za raia?
Je,Katiba hiyo inalazimisha raia kushiriki asichokikubali?
Katiba ipi inaruhusu na kulinda wanaoivunja wazi wazi bila kuwajibishwa?
Kila kitu kina utaratibu,na taratibu zikikiukwa na wahusika kuna hatua za kuchukua.
Unajua wabunge wa viti maalumu wanapatikanaje,mamlaka husika hufanyaje ili wakidhi matakwa ya sheria na Kanuni ili wawe halali?
Je,taratibu zimezingatiwa ktk kupatikana na kuapishwa kwao? Au kwa vile ni CDM ndiyo tatizo kwa vile hawajakubali "kuonewa na kuunga mkono"juhudi" uchwara?
NB. Kama Membe alijaribu tu kutumia haki yake ya kuchagua na kuchaguliwa akafurushwa (kwa kifungu kipi cha Katiba?) huoni tatizo sembuse mambo ya wazi na bado unaona wabaya na wakosaji ni CDM,basi kuna tatizo kubwa ktk kuchambua,kutafakari na kufikiri. Haya ndiyo madhara ya "elimu bure!" KWELI NI BURE KABISA.
Tuliza vinyweleo hivyo wewe kahaba WA Chakubanga , Huna akili ya kujadili Mambo sophisticated kama yanayokihusu Chama cha Chadema , sio level zako , we endelea kulamba na makalio ya meko .
Timua hao Virusi CDM -19 VITI MAALUMU a.k.a COVID-19!!!
Wewe takataka nimekwambia sina muda mchafu WA kujadiliana taahira mwenye mtindio WA ubongo kama wewe , wewe endelea kuinamishwa huko na kulamba makalio ya meko na makada WA chama cha maharamia .
Nyauvp kile kikao cha kumjadili aidan kimeisha?
CCM,NEC na NDUGAI nao wametumia kifungu kipi cha Katiba kuichagulia CHADEMA wabunge wa Viti maalumu?Chadema imetumia kifungu kipi cha Katiba ya nchi na hata ile ya Chama kugoma kupendekeza majina ya Viti maalumu?
Takwa la kikatiba ndiyo Sheria mama .
Mbowe ni nani mpaka aamue tu kupuuza Takwa la kikatiba kwa hoja uchwara.?
Huna akili wewe kichaa, president unamlinganisha na wahuni kama Mbowe, wanywa Konyagi!Upuuzi unao wewe kwani Rais mbona huwaonea wapinzani kwa kuagiza wabambikiwe kesi Ndungai awanunue covid 19 kuleta vurugu chadema ili wapate kuidhoofisha vizuri na kurejesha mfumo wa chama kimoja
Kwani nani aliekwambia hatakufa? Vipi ukitangulia wewe? Hebu pumzisha hilo fuvu lako(maana najua hauna ubongo), ndo uje kubishana na mimi.Pumbaaaaaaf mkubwa wewe.Who is Magufuli by the way? He gonna die like any human being in this world! It's Just a matter of time!!
Kuna siku mtalipia huu uhuni mnaowafanyia Watz wenzenu kisa wako upinzani!
Nani wahuni kati ya Mbowe na Magufuli na Timu yake(Ndugai,Mahera)?Huna akili wewe kichaa, president unamlinganisha na wahuni kama Mbowe, wanywa Konyagi!
Ben alikuwa anakunywa Nyagi lakini kichwani ana akili, huyu jamaa yako, mh basi tu.Nani wahuni kati ya Mbowe na Magufuli na Timu yake(Ndugai,Mahera)?
Konyagi mbona ni kinywaji tu. HATA ALIYEMWIBUA JIWE TOKA CHATTLE Bwana Ben Mkapa(rip) ALIKUWA MNYWA KONYAGI MZURI tu kuliko hata Mh. Mbowe???===!
Sio kweli dogo, urais sio kama hela kila mtu anaweza kuzimiliki.Kama jpm amekuwa rais yeyote aweza kuwa rais
CHADEMA KUMBE HAWAJAKOMAA KAMATI KUU INATAKIWA KUJADILI JAMBO AMBALO LIMECHAMBULIWA NA KAMATI NDOGO NA KUTOLEWA MAPENDEKEZO SIYO KUKURUPUKA KAMA WANAVYOFANYA HIVI SASAMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
=================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari.
22:08: Bado Viongozi wa Chadema hawajafika ukumbini
Mkutano huo utakuwa live kupitia
Tayari Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshafika ukumbini
Tunawashukuru Watanzania wengi ambao wanafuatilia kikao maalum cha ajenda moja ya kujadili, kushauriana na kutafakari juu ya wanachama wetu 19 waliokwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum- Freeman Mbowe
"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
“Chama chetu hakijateuwa Wabunge wa Viti Maalum lakini tunaona wapo Bungeni wanaapishwa”Mbowe
Tangu nchi hii ipate uhuru hatujawai kuona Mbunge/Wabunge wakiapishwa garage, mambo ya kihuni kabisa haya..." Mbowe
“Hiki chama kinaongozwa na principles bila kujali maumivu makubwa tuliyopitia chama chetu kitafuata utaratibu siku zote, kwahiyo kamati kuu imewavua nafasi zao za uongozi viongozi wote waliokua na nafasi katika mabaraza ya chama.” @freemanmbowetz
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -MBOWE
"Ili kanuni ambayo Spika ametumia iweze kufanya kazi kuapisha wabunge wetu. Kwanza wangestahili kubadilisha Katiba iruhusu wabunge kuapishwa nje ya utaratibu ambao ni ndani ya Bunge" -
Nusrate Hanje Katibu wa Bavicha amefungwa jela siku 133 kwa makosa yenye dhamana, hawa Watesi wetu wanakwenda kumtoa saa moja usiku akaape.”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaaapishwa”-
"Sisi kama chama cha siasa, hii 'process' yote hatuijui, tunaona tu wabunge wetu wanaapishwa. Chama chetu hakijateua wabunge wa viti maalum" -
"Wabunge hawa 19, mama zangu na dada zangu wameapishwa kiapo batili kwani Katiba inasema waapishwe mbele ya Bunge. Sasa kanuni zimebadilishwa ili kumruhusu Spika kumwapisha popote hata eneo la gereji-
“Tangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batili”
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa”
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka”
"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA 2020 WALIOVULIWA UWANACHAMA NI:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
Like son like daddy....!!Kwani nani aliekwambia hatakufa? Vipi ukitangulia wewe? Hebu pumzisha hilo fuvu lako(maana najua hauna ubongo), ndo uje kubishana na mimi.
Ndiyo maana nimeandika ukasoma.Wewe inaelekea hata kusoma hujui
Weka link hapa mkuuMkuu Ingia you tube sikiliza mwenyewe tamko
WAMEVULIWA uanachama wao
Wewe unatumia kipimo gani kupima akili ya mtu? Hata wewe hapo ulipo huna akili!Ben alikuwa anakunywa Nyagi lakini kichwani ana akili, huyu jamaa yako, mh basi tu.