Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

nimegundua we mdau umezoea kujipa stress tu...
Hamna kichwa italiwa hapo 😂😂😂😂
 
Ndungai kuwanunua covid 19 ni utoto zaidi ya huo unaofikikiria
JPM anataka kuwateua Mdee na wenzie kwenye nafasi za Uwaziri ndo maana hadi Leo Baraza la Mawaziri halijatajwa...

JPM hana imani na wabunge wa CCM kawabeba na hawabebeki na wengi wao ni "hamnazo" ndo maana kamlazimisha Ndugai na NEC kuhakikisha KE hawa wanabaki Bungeni...

Kwenye hili sakata the bad animal of the issue ni Magufuli na Msukule Ndugai...
 
Nyumbu hovyo kabisa, Sasa CCM inahusika vipi na kikao Cha saccos ambayo hawajielewi?
Kama pressure inashuka na kupanda ni kwa nyie nyumbu, Mbowe atabariiki na utakuja kurukaruka hapa, hao wabunge wa chadema wamewadharau hao viongozi wa saccos ndo maana hawana habari na hiyo kitchen party.
 
List ya Mbowe ina barua yenye Muhuri halali ya Mdee ina dhamana ya wanawake. Haya tusikilize porojo za Mbowe
Mkuu Benson heshima kwako. Nakubaligi sana makala zako hasa humu jamvin.

Mangi Aisee kuna makala yako moja uliwekaga humu ndani 'NGUVU YA KUNYA' nimeitafuta kichiz. Yani ulishusha nondo za hatarii.

Ulikuwa 'unawahasa' vijana njia peke ya kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti ni NGUVU YA KUNYA tu.

Nifanyie wepesi kuipata tena iyo linki.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa
 
Nendeni you tube wanaonyesha darmpya nimeshindwa weka link hapa
 
chadema hawahusiki kweli lakini mwenye chama kahusika na anajua, huo ndo ukweli mchungu msiotaka kuusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…