Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Mbowe hana hayo mamlaka unayotaka kumpa , halafu wewe na Mahera tumsikilize nani ?
 
Nitamshangaa sana msajili kama ataendea kukivumilia hiki cha kinachofanya kila hila kuhujumu nchi na kuvunja Katiba ya nchi inayowatakupeleka wabunge wa viti maalumu.

Hicho Chama kifutwe haraka sana mana kipo kwa ajili ya maslahi ya viongozi wasiozidi watano.

Tunamuomba msajili akifute haraka kwani kimekua ni kichochoro cha wasaliti wa nchi na wahujumu maendeleo ya watu.
Ni bora kuwa na chama kimoja makini kuliko hawa wahuni wasiojitambua.

Mwanzoni nilijua CCM ina shida, kumbe hawa waigizaji ni tatizo kubwa zaidi.
 
Ni ajabu kuona mtu mwenye brains kama lisu anafubaa kwenye chama cha MBOWE.

Ni bora aajiriwe kwenye tule tukazi tudogo dogo alichotusema magufuli.
 
Back
Top Bottom