ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Hawawezi kushika dola hawa...Mbona kimya? Mnazingua mjue. Mmesema saa tatu kamili lakini inaenda saa tatu na nusu bado tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kushika dola hawa...Mbona kimya? Mnazingua mjue. Mmesema saa tatu kamili lakini inaenda saa tatu na nusu bado tu.
Ni zao la mwalimu nyerere memorial academy.kila wakiwa na event wanamwalika polepole! Yani polepole ni mwanataaluma? Aende nkuruma akaonehii inaonyesha level ya education yako!
CHADEMA siku nyingiiii🛌Mungu ibariki Chadema
Ameshatekwa mtu labda!Mbona kmyaa
Unakunywa nae kwenye ndoto lakini, live haiwezekani daimaNani nimemkejeri mkuu. Kwani ni siri kuhusu Mbowe na Faru John? Mbona nakunywa naye kila mara hapa Triple 7 na anajua huwa namwambia kila nikikutana naye?
Mwizi wa kura.Pumbavu mkubwa, rais unamlinganisha na wapuuzi kama Mbowe
Ni bora kuwa na chama kimoja makini kuliko hawa wahuni wasiojitambua.Nitamshangaa sana msajili kama ataendea kukivumilia hiki cha kinachofanya kila hila kuhujumu nchi na kuvunja Katiba ya nchi inayowatakupeleka wabunge wa viti maalumu.
Hicho Chama kifutwe haraka sana mana kipo kwa ajili ya maslahi ya viongozi wasiozidi watano.
Tunamuomba msajili akifute haraka kwani kimekua ni kichochoro cha wasaliti wa nchi na wahujumu maendeleo ya watu.
Jobless Ndugai mgogo wa Ibwaga, Kongwa...Ccm mtakoma mbowe anakwenda kutangaza vita vya kisheria na jobless ndugai
Mama D upo? Unatafuta nini humu saa hizi. Mr hajarudi?CHADEMA siku nyingiiii[emoji932]
Walighushi uchguz mzima itakuwa wabunge 19 tu wa viti maalumuNEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
Mahera amesema chadema wamepeleka barua yenye Muhuri wa Katibu mkuu. Chadema ni pamoja na Mbowe mwenyeweMbowe hana hayo mamlaka unayotaka kumpa , halafu wewe na Mahera tumsikilize nani ?
ha ha walai huyu mzee simpendi daaaah!Jobless Ndugai mgogo wa Ibwaga, Kongwa...