Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Usibishane nae, kachanganyikiwa baada ya kuzidiwa kete na watoto wa kike. Yaan hawa jamaa sa hv wanaropoka ropoka tu km machizi
Wanandungai covid 19 wataenda kuwa wabunge wa mahakamaccm ili kuinusuru chadema isifariki kama chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Kati ya siku ambayo mbowe anahitaji kvant kichwani ni leo.
Screenshot_20201127-210734_1.jpg
 
Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.

Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(makosa ya kugushi na mengineyo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.
IVI WEWE BADO AKILI YAKO IPO CHADEMA HAHAHA KWELI DUNIA HAITAISHA WEHU
 
Mabeberu waliacha kumpa hela tangu 2016. Kwni unafikiri kilichofanya ashindwe kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ni nini? Miaka 4 sasa mabeberu wanaahidi mchango kweye bajeti lakini hawaleti. Hivyo wanaoumia siku ya mwisho sio Magu.
Huyo mtu unayemuabudu njaa na wakosa AVR wataandamana kwenda nyumbani kwake
 
Slaa ni mwizi alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba na CCM huko canada hana cha kuigwa na kazee fulani kapumbavu fulani hivi
Dr alikuwa ana mapenzi mema na chama basi tu vijana mzuka ukawapanda mkamtusi sana akaamua akae pembeni...
 
Mnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni
Firahi wewe kijani
 
Hii tume ni ya kihuni tu pamoja na hii serikali wote kwa pamoja walishirikiana kuhujumu uchaguzi sasa tena wako kwenye sakata la wabunge wanawake.

Itakuwa vigumu sana kwa nchi yoyote makini duniani kushirikiana na serikali ya kifedhuli kama hii, serikali inayogushi nyaraka itawezaje kusimamia haki katika nchi? Hovyo kabisa.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama

Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.

Stay Tuned for Updates

======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari
Mkutano huo utakuwa live kupitia

Mbona naona kama pichani hawana "urafiki" tuliouzoea
 
Asante1 Inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani,upeo duni na mpumbavu kupindukia. Unafikiri mtu kuwa rais ndo ana akili kuliko wooote au? Na je,kabla hajawa rais ulikuwa unamchukulia kama mpumbavu mwenzio au?
mwambie huyo mburula! Hivi kwa ugoro uliopo ikulu sasa hivi ukiweka mbwa nchi itaenda vizuri zaidi nina uhakika
 
Back
Top Bottom