johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja tuone!Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari usiku huu saa tatu kamili, ukumbi wa Bahari Beach Hotel.
Stay Tuned for Updates
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone!Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari usiku huu saa tatu kamili, ukumbi wa Bahari Beach Hotel.
Stay Tuned for Updates
Eti NEC waghushi, wajumbe wa kamati kuu waarifiwe, waende Dodoma, wakubali kuapishwa kuwa wabunge! Inaingia akilini kabisaaa? Kweli nyumbu ni nyumbu tu!NEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
Umenikumbusha Polepole alivyosema upinzani ni sawa na corona.
Bangi mbayaKwa nini usiku?
Ok tuko hapa budget tunasubiri na makamanda wenzangu!Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukiwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.
Press itaanza saa tatu kamili usiku
Anataka iwe usiku akiwa amelewa Faru John hahahahah.Kwa nini usiku?
Toka asubuhi mpo budget?Ok tuko hapa budget tunasubiri na makamanda wenzangu!
Mkuu unategemea kusikilizia live TV au Radio gani?Ngoja tuone!
Ina maana hadi kina Mdee wameghushiwa sio wale tunaowajua sisiNEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
Jiwe ni Yesu, by LugolaMnafikiri nyie mnavyomsujudia Mh mungu na CHADEMA kuna huo upuuzi ?
Ni Mh mungu by CarboodJiwe ni Yesu, by Lugola
Pressure kwa mambo itoke wapi wakati mambo yote yalipangwa😁😁Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukiwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.
Press itaanza saa tatu kamili usiku
NEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
Leo ni Ijumaa bwashee!Toka asubuhi mpo budget?
Ukiitambua NEC, umeitambua serikali pia! Mnayumba.NEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
umefunga kazi. Kabudi akasema Mh. Mungu,anatetemeka mpaka anafanya makosa ya kise...Ni Mh mungu by Carbood
Tanzanite TV.Mkuu unategemea kusikilizia live TV au Radio gani?