Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Mnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni
Hakujifunza kwa yaliyompata Slaa
 
Ya kitoto wakati mabeberu hawampi hela
Mabeberu waliacha kumpa hela tangu 2016. Kwni unafikiri kilichofanya ashindwe kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ni nini? Miaka 4 sasa mabeberu wanaahidi mchango kweye bajeti lakini hawaleti. Hivyo wanaoumia siku ya mwisho sio Magu.
 
Kitendo cha Kamati kuu ya CDM kushindwa kutoa maamuzi yoyote mpaka dakika hii ni ishara tosha kwamba wameshazidiwa
 
Back
Top Bottom