Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa hiyo nifungulie TBC Taifa niangalie live?TBC ndio wameingia bahari beach muda huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nifungulie TBC Taifa niangalie live?TBC ndio wameingia bahari beach muda huu!
Una ushahidi huo?
Acha kunajisi sheria
Hahaha hawa si waliishakatazwa kutangaza mambo ya nyumba ya pili?!TBC ndio wameingia bahari beach muda huu!
TBCCCM wasiende kutia janaba huko kwenye kikao cha kuwafukuza wanandungai covid 19TBC ndio wameingia bahari beach muda huu!
Wanandungai covid 19 wataenda kuwa wabunge wa mahakamaccm ili kuinusuru chadema isifariki kama chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya LipumbaUsibishane nae, kachanganyikiwa baada ya kuzidiwa kete na watoto wa kike. Yaan hawa jamaa sa hv wanaropoka ropoka tu km machizi
Kweli mkuu! Wasaliti wamejaa huko hadi wa nchi hii.Hili li chama la hovyo hovyo sana, yan kila siku linazalisha wasaliti
IVI WEWE BADO AKILI YAKO IPO CHADEMA HAHAHA KWELI DUNIA HAITAISHA WEHUTunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.
Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(makosa ya kugushi na mengineyo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.
wenye chama wanajua kinachoendelea,wewe shabiki mandazi endelea kula matango pori ili utoe povu vizuri.NEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
Huyo mtu unayemuabudu njaa na wakosa AVR wataandamana kwenda nyumbani kwakeMabeberu waliacha kumpa hela tangu 2016. Kwni unafikiri kilichofanya ashindwe kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ni nini? Miaka 4 sasa mabeberu wanaahidi mchango kweye bajeti lakini hawaleti. Hivyo wanaoumia siku ya mwisho sio Magu.
Dr alikuwa ana mapenzi mema na chama basi tu vijana mzuka ukawapanda mkamtusi sana akaamua akae pembeni...Slaa ni mwizi alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba na CCM huko canada hana cha kuigwa na kazee fulani kapumbavu fulani hivi
Hakuna ninayemuabudu, usikariri. Mungu tu mwenyewe ni kwa machale.Huyo mtu unayemuabudu njaa na wakosa AVR wataandamana kwenda nyumbani kwake
Firahi wewe kijaniMnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni
channel gani inawaonyesha, mbona siwaoni?TBC ndio wameingia bahari beach muda huu!
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari
Mkutano huo utakuwa live kupitia
mwambie huyo mburula! Hivi kwa ugoro uliopo ikulu sasa hivi ukiweka mbwa nchi itaenda vizuri zaidi nina uhakikaAsante1 Inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani,upeo duni na mpumbavu kupindukia. Unafikiri mtu kuwa rais ndo ana akili kuliko wooote au? Na je,kabla hajawa rais ulikuwa unamchukulia kama mpumbavu mwenzio au?