Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

"Kamati Kuu ya ChademaTz imewavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum kwa kosa la utovu wa nidhamu na usali" Mhe. Freeman Mbowe
 
Mbowe anawafanya watu wajinga ..alichofanya ni kufanya damage control tu huwezi kumfungia mtu malango nje watu waone umemfungia mlango then unafungua dirisha unamwashia tochi kumuonyesha anaweza pitia huku kurudi ndani tena, hahahaha soon tutasikia wamesamehewa na wanaendelea na ubunge na Mr DJ anaendelea kula ruzuku
 
Mjinga wewe mwenye bakuli huyo mlevi, nyumbu mmeambiwa na mwenye saccos hawawatambui hao covid 19.
Hayo maamuzi kwa ajili ya nyumbu tu HAKUNA adhabu yoyote.
Halafu mtatapatapa kwa kushangilia mr dj zero kwa kusema tu hawawatambui!
Jinyonge basi ukose buku Saba za polepole
 
Kama kughushi basi itakuwa wanasaccos hapo Ufipa. Ngoja tusubiri hotuba ya Faru John nasikia anaongea na wanahabari leo saa tatu usiku. Sijui ataweza wakati Faru John atakuwa yuko kichwani.
Dada magu2016 kama bado mnasumbuliwa na muwasho,kunyweni dazban inaponya ndani ya sekunde.msalimie jobu na mahera waaambie hawajawahi kua na akili zaidi ya kuwazia matumbo yao
 
Hahahahaha, ndio maamuzi uliyokuwa unayasubiri?
Yah nimaamuzi stahiki kabisa kwa wasaliti, ingawa najiuliza kwa nini yamechelewa kutolewa. Yaani walichofanya viongozi wa cdm ni sawa umelala jamaa kakuvizia kakugegeda na wewe kwa hasira unamtia dole
 
hili nalo ni mpaka bunge la Ulaya walijadili na kutoa vitisho!
 
Tumeachwa makovu makubwa na tumeamua kuyatibu haraka, matokeo yake haya makovu yata tuua .

Mpaka Jumatano ijayo PHASE IV ya the art of war in political contest inakuja, na kuna uwezekano ikazaliwa Chadema nyingine miezi mitatu ijayo.
 
Back
Top Bottom