Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mmemaliza ndoto za hawa mabinti....naita mabinti sababu hakuna mwenye miaka 50+ pale.Covid 19 waliapishwa bila siwa kuwepo?!!!
Saana! Hotuba ndefu ni nzuri kama inatoka kwa mwenye busara. Sasa DJ kweli? Hlafu naye anaongoza chama kinachotaka kutawala nchi.***** imekuuma ee , na tumewatimua Sasa, huko kwenu wawekwe Baraza jipya wakati nyingi malamba matanga
Safi sana ,maamuzi sahihi.Kamati Kuu Chadema imewafukuza uanachama Halima Mdee na Wenzake 18
Mheshimiwa Mbowe ametangaza maamuzi hayo ambapo kwanza imewavua nyadhifa zote za chama, kisha imewafukuza uanachama wao.
Tangu leo si wanachama tena wa Chadema.


Nendeni You tube mkamsikilize Mbowe, Covid 19 wamevuliwa nyadhifa zote pamoja na uanachama wao, ili uwe mbunge ni lazima uwe mwanachama, hivyo kwa maana hiyo wamepoteza nafasi za ubunge.Hawana haja na uongozi, haha yao NI ubunge na uanachama. Kama mmewavua uongozi na mmewaacha ni wanachama wanauwezo wa kugombea Tena.
Njaa mbaya.
Nyumbu hovyo kabisa.
Wamevuliwa uanachama hila Katiba inawaruhusu kukata rufaa ndani ya siku 30 kwa Baraza kuu la chadema au kuandika barua ya kuomba msamaha ndani ya kamati kuu kwa mujibu wa ibara 6.5.4 ya chademaSio kuazimia kuwavua ilitakiwa iwe imewavua uanachama.
Kweli nimependa Sana speech yakeMbowe ni kiongozi mstaarabu sana.
Bonge la khotuba kwa kutulia kabisa.
Crimea ulipata wapi hizi habari Leo asubuhi asubuhi???
Kina Mdee wataadhibiwa kwa kuvuliwa vyeo tu kwenye chama, wataendelea na Ubunge wao
Kwanza kabisa ifahamike kwamba yote yaliyofanyika yana baraka zote za Mwenyekiti. Sasa ili kujikosha na kuwazuga wafuasi sugu wa CHADEMA, Mbowe atakuja na blah! blah! kibao kisha atahitimisha kwa maneno yafuatayo: "Kitendo kilichofanywa na viongozi wa BAWACHA ni cha utovu wa nidhamu na hivyo...www.jamiiforums.com
Hujakata tamaa kweli, au umegeuka kama bendera?Fukuzilia mbali wasaliti
Hii ndio Chadema sasa [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
jikite kwenye madaYule wa Nkasi anatimuliwa lini maana nae amekubali kushiriki kwny Bunge haramu
Pesa mwanaharamu
Mdee kaitumia Chadema kama toileta paper kwa 15 years kama Mbunge lakin ilipofika kuchagua Pesa au chama kachagua Pesa
Hakuna aliewahi kuchagua Fedha dhidi ya chama pale
Hakuna msamaha kwa hao wapuuzi ,mapinduzi kazi ngumu wengi wanakimbia ,waache wakaungane na lijualikali na silinde na gaucho minjino.Wamevuliwa uanachama hila Katiba inawaruhusu kukata rufaa ndani ya siku 30 kwa Baraza kuu la chadema au kuandika barua ya kuomba msamaha ndani ya kamati kuu kwa mujibu wa ibara 6.5.4 ya chadema