Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata hujui maana ya marehemu, na hayati!!!!Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Anatakiwa kuitwa marehemu ama hayati JPM na sio mwendazake, mwendazake ni tusi gani hilo na limeikotwa wapi maana ni jipya hasaBasi sawa tutamuita MJAZAKE
Usinifokee😅😅Anatakiwa kuitwa marehemu ama hayati JPM na sio mwendazake, mwendazake ni tusi gani hilo na limeikotwa wapi maana ni jipya hasa
Kuna watu humu wasipomuongelea jpm hawapumui.
Katika watu wapuuzi, hakuna wapuuzi kama hawa.Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Kama tafsiri ya neno "mwendazake" ndio hiyo uliyoitoa, basi utakuwa MJINGA NAMBA MOJA TANZANIA kumuita JPM mwendazake wakati ukijua hana sifa za mwendazake kama ulivyozielezea mwenyewe.Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Ile kamati ya wachungaji na mashekhe feki??
Kenya wanatumia sana neno hiloKumbe hata hujui maana ya marehemu, na hayati!!!!
Ila wako sahihi 'mwendazake' ni matusi, toka kuzaliwa sijawahi sikia hiyo lugha ikitumika kwa waliotangulia, kama neno lipo kwenye kamusi basi kuna wa lakini mahala, eidha kiswahili hicho ni cha nchi ya jirani na sio tanzania ama waloweka neno kwenye kamusi walikuwa wamekengeuka
mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendeleaSynonyms: marehemu
Askofu Peter Konki wa Kamati ya Amani amefanya rejea kuwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Wao wanashindana na mungu ??Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Absolutely Rubbish, kwanza inabidi ajifunze kwa upana neno mwendazakeKamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.