Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

Kwani serikali wanapata shida gani kumjibu maswali yake?
 
Paso alienda kuhojiwa anaujua mziki wake, so msimpe bichwa huyo gwajizo
Swala sio kumpa kichwa,Gwajima Ana maswali mengi fikirishi na yana mantiki kubwa ambayo majibu yake hawana wanabaki kubwabwaja kutetea matumbo,inshu ya vaccine is very complicated
 
Swala sio kumpa kichwa,Gwajima Ana maswali mengi fikirishi na yana mantiki kubwa ambayo majibu yake hawana wanabaki kubwabwaja kutetea matumbo,inshu ya vaccine is very complicated
Sasa hoja zake azilete ushahidi wa ki science na mabara aliyo chunguza, tafiti hupingwa kwa tafiti za ki science sio kuongea ongea kuhadaa wajinga wenzake
 
Sasa hoja zake azilete ushahidi wa ki science na mabara aliyo chunguza, tafiti hupingwa kwa tafiti za ki science sio kuongea ongea kuhadaa wajinga wenzake
Tusubiri kesho,chanjo is very clear haina data tosha za clinical trials na ndo maana Una sign chochte kikupatacho is upon yourself,kuna vaccine ngap zinapita huhtaj hazijaw na utaratibu na zina clear data,chanjo haipingwi Ila kuna mantiki cariha,let's wait for good
 
Kama Pascal Mayalla mwenyewe ana_like tu humu komenti unategemea nani atatoa majibu yenye weledi?.

Kila mtu anasubili kuanzisha mada baada ya kamati kumlarua huyo gwajiboy.
 
Kama Pascal Mayalla mwenyewe ana_like tu humu komenti unategemea nani atatoa majibu yenye weledi?.

Kila mtu anasubili kuanzisha mada baada ya kamati kumlarua huyo gwajiboy.

..Gwajima ni mwana-CCM mwenzao.

..Sidhani kama atachukuliwa hatua zozote kali.
 
Unategemea kuona Gwajima akiishinda Serikali?
 
Swala sio kumpa kichwa,Gwajima Ana maswali mengi fikirishi na yana mantiki kubwa ambayo majibu yake hawana wanabaki kubwabwaja kutetea matumbo,inshu ya vaccine is very complicated
Unaamini kuwa Gwajima ataweza kuthibitisha kuwa Chanjo Ina usumaku au inawasha balbu au kuthibitisha kuwa Rais Samia kala rushwa/Hongo?
 
Kwani Bunge halina wataalam kiasi kwamba Gwajima ndio awe mtaalamu zaidi?
 
Hakuna wa kujibu hoja za Askofu Gwajima. Hata wakikesha na madesa bado ni ngumu kusimama na mtu anayesimamia anachoamini.
In short umekua like kwamba jamaa ni mbishi na akiamua kitu chake haambiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…