cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Watu wasahaulifu lowasa mwenyewe sikuhizi mpole ka piritoniAsad alivyohojiwa alibaki kwenye kiti chake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wasahaulifu lowasa mwenyewe sikuhizi mpole ka piritoniAsad alivyohojiwa alibaki kwenye kiti chake?
Gwajima ana 'watu', CCM na Serikali yake hawamuweziMnamvimbisha tu kichwa huyo tena ccm imuwahi mapema 2025 atawageuka na kugawa kura huko kanda ya ziwa watajua hawajui, bora wamuwahi tu
Kwani serikali wanapata shida gani kumjibu maswali yake?Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Swala sio kumpa kichwa,Gwajima Ana maswali mengi fikirishi na yana mantiki kubwa ambayo majibu yake hawana wanabaki kubwabwaja kutetea matumbo,inshu ya vaccine is very complicatedPaso alienda kuhojiwa anaujua mziki wake, so msimpe bichwa huyo gwajizo
Hamna mtu mkubwa kuliko CCM acheni kumpa bichwa huyo mkono wa baunsa, atatulizwa mpaka ashangae.Gwajima ana 'watu', CCM na Serikali yake hawamuwezi
Sasa hoja zake azilete ushahidi wa ki science na mabara aliyo chunguza, tafiti hupingwa kwa tafiti za ki science sio kuongea ongea kuhadaa wajinga wenzakeSwala sio kumpa kichwa,Gwajima Ana maswali mengi fikirishi na yana mantiki kubwa ambayo majibu yake hawana wanabaki kubwabwaja kutetea matumbo,inshu ya vaccine is very complicated
Hawamuwezi Gwajima ana 'watu' usifanye mchezo wewe. Mpaka sasa Gwajima 3 CCM 0Hamna mtu mkubwa kuliko CCM acheni kumpa bichwa huyo mkono wa baunsa, atatulizwa mpaka ashangae.
Tusubiri kesho,chanjo is very clear haina data tosha za clinical trials na ndo maana Una sign chochte kikupatacho is upon yourself,kuna vaccine ngap zinapita huhtaj hazijaw na utaratibu na zina clear data,chanjo haipingwi Ila kuna mantiki cariha,let's wait for goodSasa hoja zake azilete ushahidi wa ki science na mabara aliyo chunguza, tafiti hupingwa kwa tafiti za ki science sio kuongea ongea kuhadaa wajinga wenzake
Kama Pascal Mayalla mwenyewe ana_like tu humu komenti unategemea nani atatoa majibu yenye weledi?...Gwajima amesema ukichanjwa unakuwa na nguvu ya sumaku pale sindani ilipoingia. Hivi hakuna Mtanzania anayeweza kum-challenge?
..Pia amesema ukichanjwa pale sindani ilipoingia panaweza kuwasha balbu. Je, hakuna Mtanzania anayeweza kumjibu kwa ushahidi?
..Vilevile amewatuhumu viongozi kuwa wamehongwa ili wa-promote chanjo, na kwamba wamechanjwa chanjo "feki." Hilo nalo hakuna Mtanzania wa kumjibu?
Lowassa alikuwa na Mbuzi,Kakobe alikuwa na kondooGwajima ana 'watu', CCM na Serikali yake hawamuwezi
Kama Pascal Mayalla mwenyewe ana_like tu humu komenti unategemea nani atatoa majibu yenye weledi?.
Kila mtu anasubili kuanzisha mada baada ya kamati kumlarua huyo gwajiboy.
Unategemea kuona Gwajima akiishinda Serikali?Tusubiri kesho,chanjo is very clear haina data tosha za clinical trials na ndo maana Una sign chochte kikupatacho is upon yourself,kuna vaccine ngap zinapita huhtaj hazijaw na utaratibu na zina clear data,chanjo haipingwi Ila kuna mantiki cariha,let's wait for good
Unaamini kuwa Gwajima ataweza kuthibitisha kuwa Chanjo Ina usumaku au inawasha balbu au kuthibitisha kuwa Rais Samia kala rushwa/Hongo?Swala sio kumpa kichwa,Gwajima Ana maswali mengi fikirishi na yana mantiki kubwa ambayo majibu yake hawana wanabaki kubwabwaja kutetea matumbo,inshu ya vaccine is very complicated
Tupe uzoefu unavyoona Gwajima kesho anachomoka au hachomoki.Predict
Kwani Bunge halina wataalam kiasi kwamba Gwajima ndio awe mtaalamu zaidi?Wajiandae na sayansi ya hii mRNA DNA gene therapy,which is relatively new science.Kama hawajui Operating System iliyotumika kwenye hiyo chanjo,Nano Technology iliyo tumika,Hydrogel usage kwenye hiyo chanjo,Spike Poteins and how mRNA is being used to produce the Spike Proteins, relationship ya hizo chanjo na 5G,wasijaribu kumhoji,kwa kuwa wataingia aibu.Furthermore wajiandae pia kutoa maelezo ya kina juu ya athari za Spike Proteins mwilini.
Wajiandae pia kujibu kama wanajua how the vaccines will affect human rights,kwa kuwa humans will be GMOs.Wajiandae pia kujibu how the vaccines will affect privacy,because each individual will be connected to a central data base,and who will control the data base.Ningewashauri watakao mhoji wajiandae na science ya "shedding of spike proteins," kama hawajui itakuwa ngumu sana kwao.In short wajiandae kweli kweli.
In short umekua like kwamba jamaa ni mbishi na akiamua kitu chake haambilikiHakuna wa kujibu hoja za Askofu Gwajima. Hata wakikesha na madesa bado ni ngumu kusimama na mtu anayesimamia anachoamini.
Gwajima siyo mtu wa kukaa kimya,akikaa kimya tutahesabia Gwajima kafeli..Nadhani mtafaruku huu utamalizwa kimyakimya.
..Gwajima hatachukuliwa hatua kali, lakini na yeye atakaa kimya kiaina.
Kuna Mambo ya Imani na SayansiHakuna wa kujibu hoja za Askofu Gwajima. Hata wakikesha na madesa bado ni ngumu kusimama na mtu anayesimamia anachoamini.
Ndungai hamuwezi Gwajima
Gwajima siyo mtu wa kukaa kimya,akikaa kimya tutahesabia Gwajima kafeli