Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ngoja tusubirie,na tuje ona watakachokiandika...!!
Wanaushangaa weledi wa Kitanzania,imekuwaje tena?Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Hata akigombea Hakuna mwenye akili timamu atapoteza kura yake.
Dedication from Magufuli grave to mama Samia.
Magu is just passing the message he’s not your problem as the song says.
Busara ni mama kutangaza rasmi 2025 hatogembea tuanze kuwaangalia wannabe’s.
She just doesn’t have what it takes to develop a poor nation.
Wale twarukaa
Uwanja unatumika nimetua hapo last two weeks.Yule mzee alituona mazwazwa sana...
Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
Swali nimeshauliza sana; ndege ya rais wetu ni Gulfstream iliyonunuliwa kwa mbwembwe kuwa hata kama watanzania tutakula nyasi lazima rais awe na gulfstream. Cha ajabu siku hizi rais hasafiri kwa gulfstream tena ingawa ina masafa marefu kuliko hiyo airbus, bado rais wetu anapenda airbus tu ambyo ni ndege ya abiria kibiashara. Gulfstream ilimpeleka mama Kikwete Brazil non-stop kutoka Dar hadi Rio; hii airbus haiwezi kufanya trip ya aina hiyo, lakini mama kaing'anagania kweli kweli!Bado Samia anasema wameagiza ndege nyingine tano. Kwanini Ofisi ya rais watumie ndege ya ATCL wakati wakijua ndege hizo ni za biashara na wakiruka tu juu mamlaka ya anga ya kimataifa inataka walipe? Kwanini wasitumie ndege ya rais?
Kutumia wanaweza lakini........Ndge zile zilishanunuliwa na mwendazake. Hawana pa kuzipeleka.
We maiti?Lakini tuliwaonya sana wakatutumia magaidi kutuua.
Lakini tuliwaonya sana wakatutumia magaidi kutuua.
Tatizo wazazi waliowazaa hao maccm na wanasiasa wa TanzaniaHalafu bado wanaongeza ndege nyingine.
Hakika Ma-CCM mi failure wakubwa.
Hawana uchungu na Tozo zetu.Nyingine tano zinakuja
Kwani mwendazake mwaka jana tu si alituambia shirika linaingiza faida na gawio akapokea? Imekuaje tena?Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Safi kabisa. Hata nyungo pia zinatua pale naambiwaUwanja unatumika nimetua hapo last two weeks.
Ficha upumbavu wako ,mzee alikuwa makini,ndege ni za serikali,si Atcl,shirika laweza kufa tukaanzisha shirika lingine kwa ndege hizihziYule mzee alituona mazwazwa sana...
Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Pythagoras,Lakini tuliwaonya sana wakatutumia magaidi kutuua.