Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Ndege zote ni za serikali. ATCL ni wakodishaji. ATCL wanailipa serikali wanapozitumia. Muwage mnaelewa basi.
Serikali iache upumbavu,ATCL sio shirika la kigeni ichukue deni lote na ianze upya la sivyo ikodishe ndege kwenye mashirika yanayoweza Leta faida iachane na biashara hiyo ya kuharibu pesa zetu.
 
Hawajakosea mkuu,watanzania matahira 100℅

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Watanzania wengi hawasumbuki na mambo ya gharama za serikali. Wao mradi wanaziona ndege kwa macho basi wanashangilia maendeleo. Tena utasikia hata wapinzani walikuwa wanataka ndege.

Kwetu sisi, kufufua ATCL = serikali kununua ndege kwa pesa zake (tena bila uwazi). Ndio uwezo wetu wa kufikiri na kuelewa. Kwa nini jiwe asituone mazwazwa?
 
Hasara lazima ipatikane kutokana na janga la Corona
 
nakumbusha tu bado billion 500 zifike trillion 1. ambayo ni zaid ya asilimia 70 ya mapato ya tra kwa mwezi.
#mycountrygovernment
 
Halafu bado wanaongeza ndege nyingine.

Hakika Ma-CCM mi failure wakubwa.
Kuna Siri kubwa Sana Juu ya ununuzi wa hizi ndege. Wataanikana hadharani soon. Mzigo wote utaamgushiwa ofisi ya Rais.
 
Kuna Siri kubwa Sana Juu ya ununuzi wa hizi ndege. Wataanikana hadharani soon. Mzigo wote utaamgushiwa ofisi ya Rais.
Kama wakumbuka Jiwe ndiye aliziweka chini ya ofisi yake kukwepa asikaguliwe ili madudu yake yasijulikane.
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Na bado wanaongeza Tena ndege 5 zije kupaki tu. Nchi ya watu wajinga sana hii
 
Ficha upumbavu wako ,mzee alikuwa makini,ndege ni za serikali,si Atcl,shirika laweza kufa tukaanzisha shirika lingine kwa ndege hizihzi
ATCL likifa ni kielelezo tosha kuwa serikali haiwezi kuanzisha na kuendesha kampuni ya ndege - as a going concern. Hakuna mkakati wa maana unaotekelezwa kufufua ATCL zaidi ya serikali kuendelea kutoa mabilioni ya uendeshaji - baada ya mabilioni ya ununuzi.

Hizo ndege ni ubadhirifu mkubwa sana wa pesa za umma. Itadhihirika karibuni tu. Hivi sasa “sherehe ya macho” kufurahia “ndege zetu” inaendelea kama vile “matajiri” wa kimasai wanavyopata raha kuona maelfu ya ng’ombe zao uwandani.
 
Ndge zile zilishanunuliwa na mwendazake. Hawana pa kuzipeleka.
Si waziache? Kwahiyo ziendelee kuingiza hasara?

Huyu mwenda zake hata mkishindwa kupandwa na jamaa zenu mtamsingizia yeye!
 
Mwendazake alifufua shirika hili kishabiki sana kuonyesha kwamba yeye anaweza kununua midege mikubwa kwa cash huku watanguzi wake wote walishindwa - mbaya zaidi alifanya haya bila upembuzi yakinifu. haya sasa kazi hiyo.
 
Kama mtu analiingizia hasara ya bln 100
Anashtakiwa,mwisho wa siku anaishia kulipa
Fine ya mln 8 kwa style hiyo shirika litatusua kweli

Ova
 
Sisi tukamwachia Mungu atende miujiza.... bila hiyana mdudu wa 19 akafanya kazi yake.
Kumbe nyie ni mataahira! Na huyo mungu wenu atakuwa taahira vilevile!

Yani badala ya kutenda muujiza kwa ccm anatenda kwa mtu? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ni Mungu huyu wa Yakobo na Ibrahimu, hana muda wa kushughulika na wapumbavu.
 
Back
Top Bottom