Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Wanaushangaa weledi wa Kitanzania,imekuwaje tena?
 
Dedication from Magufuli grave to mama Samia.

Magu is just passing the message he’s not your problem as the song says.

Busara ni mama kutangaza rasmi 2025 hatogembea tuanze kuwaangalia wannabe’s.

She just doesn’t have what it takes to develop a poor nation.

Wale twarukaa

Hata akigombea Hakuna mwenye akili timamu atapoteza kura yake.
Ilifaa haishie kwenye uwaziri wa wanawake na jinsia na watoto.Huku kiatu kinapwaya
 
Yule mzee alituona mazwazwa sana...

Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
Uwanja unatumika nimetua hapo last two weeks.
 
Bado Samia anasema wameagiza ndege nyingine tano. Kwanini Ofisi ya rais watumie ndege ya ATCL wakati wakijua ndege hizo ni za biashara na wakiruka tu juu mamlaka ya anga ya kimataifa inataka walipe? Kwanini wasitumie ndege ya rais?
Swali nimeshauliza sana; ndege ya rais wetu ni Gulfstream iliyonunuliwa kwa mbwembwe kuwa hata kama watanzania tutakula nyasi lazima rais awe na gulfstream. Cha ajabu siku hizi rais hasafiri kwa gulfstream tena ingawa ina masafa marefu kuliko hiyo airbus, bado rais wetu anapenda airbus tu ambyo ni ndege ya abiria kibiashara. Gulfstream ilimpeleka mama Kikwete Brazil non-stop kutoka Dar hadi Rio; hii airbus haiwezi kufanya trip ya aina hiyo, lakini mama kaing'anagania kweli kweli!
 
Ndge zile zilishanunuliwa na mwendazake. Hawana pa kuzipeleka.
Kutumia wanaweza lakini........
Kuzifanya ziwe za kibiashara lawama kwa Hayati, kupigia misele sifa kwao, tunayo Safari ndefu sana kwa hizi mindset
 
CCM ovyo sana, kitu kinajiendesha kihasara lakini bado ving'ang'anizi
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Kwani mwendazake mwaka jana tu si alituambia shirika linaingiza faida na gawio akapokea? Imekuaje tena?
 
wapambane tu ndio watajua kwenye sherehe na majirani wanatakiwa kuwepo wao wanadhani kuwa peke yao ndio ushindi au furaha!
 
Yule mzee alituona mazwazwa sana...

Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
Ficha upumbavu wako ,mzee alikuwa makini,ndege ni za serikali,si Atcl,shirika laweza kufa tukaanzisha shirika lingine kwa ndege hizihzi
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi

Wamekamua tozo kwa masikini Mama zetu 45bn kwa ajili ya maendeleo, Hii nchi Hii ni ya Kifala sana! Wa Tanzania tu mafala sana, tuna ulofa sana.

Hii ni sawa na Baba kubana matumizi watoto wale Dagaa za 1000 kwa siku kwa ajili ya maendeleo huku yeye a nakunywa Tusker ya 3000/- kila siku!
 
Lakini tuliwaonya sana wakatutumia magaidi kutuua.
Pythagoras,
Hawa Wabunge wa CCM wanatufanya Watz hatuna akili!! Wapinzani wakipiga kelele sana Bungeni kuhusu ununuzi wa hii midege ya MABILIONI ambayo HAINA FAIDA YOYOTE KWA ATCL, SERIKALI NA WATZ!!!
Wabunge hawahawa walikuwa wakishangilia na kupiga meza kukubaliana na ujinga huu......Pambaf kabisa!!!
 
Back
Top Bottom