#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Kwa muda mrefu sasa tumeishi bila ya hofu ya Corona na hiyo imemetufanya tumshinde huyu adui, sasa ni rasimi kuanza kuwekewa masharti ya watu wangapi wanapaswa watembee njiani na gari libebe watu wangapi, sherehe za kufunga ndoa nazo, baa nazo, Masokoni Napo, Kwenye nyumba za Ibada n.k
 
Huu uvaaji was barakoa was bimkubwa kweli korona ipo au ndo vile tena??
 
Yote tisa,nawaza tutakapolazimishwa kuchanjwa...
 
ile KAMATI ILIYOPIMA MAPAPAI na kusema yana COVID 19 leo itajificha wapi?

Hii nchi ilichezewa sana na wasukuma.
 
Nyani Ngabu vipi kwa mtazamo wako hii kitu unaionaje .Kuna faida au ni hasara
 
Corona ipo na chanjo wanaotaka watapata..hutaki hama nchi.
 
Cha msingi sijaona napendekezo ya lockdown, na hyo ndiyo habar njema.

Kazi iendelee!
 
Simpendi Magufuli na nimeona bora kafa
Ila kwenye ishu ya Corona alicheza kama Pele
Kwa nn haya mafua yanapigiwa chapuo namna hii tofauti na TB Ukimwi n.k
Kipo kitu nyuma ya pazia
 
Kwa hiyo mwenzako akilala njaa na wewe utalala njaa?
Mwaka wa pili huu tangu wimbo wa corona, Watu tunaishi vizuri tu,hapo Kenya alipokwenda kujifunza walijifungia mpaka wakachoka mpaka sasa wameamua kuishi nao na kuchapa kazi, sasahivi mashule yamefunguliwa,eti Sisi huku ndio tunatangaza corona,ni njinga tu anayeweza kuamini hii ripoti,kisa eti awafuraishe wazungu wampe misaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…