#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Mwanang umeongea point sana 🧠
 
Hofu ya nini? Sijaona jipya kwenye hiyo ripoti sana na mapya ni kutoa takwimu na kukubaliana kikanda na kimataifa. Suala la chanjo limewekwa huru , matumizi ta nyungu yafuate ushauri wa kisayansi. Sasa mbona kama hamsomi hayo mapendekezo mnaanza tu kulalamika? Watanzania nimewashindwa.
 
Watangaze takimwu kwa faida ya nani? Kuwafurahisha wazungu?
kama corona ipo tuwekeni lockdown basi maana si tutaisha?
kama corona iponazinduaje mbio za mwenge wakati mnajua zitaleta msongamano? Au mnampotosha mama badala ya kumueleza ukweli? Au aliwaambia muandike hayo?
 
Hii habari ni mbaya sana kwa sukuma gang, na MATAGA WOOTE.
 
Aisee mbona unachukuwa jukumu la kutusemea mimi na familia yangu na marafiki zangu.tumekutuma?
Kwani wao wamekutuma kuja kunihoji?
Na kama una au mna corona na maelekezo yote yaliyotolewa kuhusu kujikinga basi mtakuwa wewe na genge lako ni wajinga mwisho.
 
Hawa wataeka wapi sura zao, ila wanasiasa wanavyojua kujitetea utasikia wanavyo mruka jiwe
Hawa walikuwa sahii tu maana hizo dawa zimesaidia sana huku mitaani hatukuona vifo walivyokuwa wakitabili hao mabwana wenu,eti Wafrica tutakuwa tunaokotwa kama takataka,mwisho ikageukia kwao, Sasahivi hivi huko india wameamua kuachana na hizi dawa zao,wamerudi kutumia dawa zao za asili,ni ujinga tu kuzarau dawa za asili wakati ndizo zilizokulea na kukuza,labda kama wewe ni mtoto wa juzi.
 
Daah, Mungu aliingilia kati baada ya kuona sis wenyew tumeshindwa kujisaidia. R.i.p ancle magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…