Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

Siasa za kihuni za nini, Mdee badilika acha "usela" sisi hatuchagui msela tunatafuta mbunge wa kutuongoza.
 
Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha shughuli za kampeni Mgombea Ubunge wa jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee.

Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa kupitia ukurasa wake wa Twitter, adhabu hiyo inaanza kutekelezwa kuanzia tarehe 12 hadi 18 ya mwezi huu wa Oktoba, 2020.

Sisiemu mnapoteza muda tu
 
Sio Kawe tu nchi nzima CCM ni laana, Leo kuna mdada kakataa kununua ice cream kisa ni ya kijani. Na kasema kabisa mimi sitaki hii rangi sio CCM Mimi.
Mtashindaje kwa hadithi hadithi uchwara hizi za kutunga..Kuna mtu asiyejua kutunga hadithi
 
Hizi ni sheria za hovyo zisizo na madhara. Mgombea kama Mdee hizo siku 7 haziwezi kumdhuru kabisa.

Jimbo la Kawe nilitegemea kampeni zilizochangamka ila naona Gwajiboy amepwaya sana hadi amefikia kubebwa.
Wewe hauko jimbo la Kawe sisi tulio Kawe tunasubiri tumalizane na Mdee tarehe 28/10/2020 kwa hamu sana! Tumechoka maneno ya kihuni ya huyu dada!!
 
Huo muda wa ku-type jarida refu la kipumbavu lote hili umeutoa wapi?
punguza jazba mkuu!! 😀😀😀 Tarehe 28 Octoba ikifika nenda kapige kura yako! Chagua yeyote unayemtaka wewe! Hicho ndo cha muhimu zaidi.
Au huna muda wa kujipanga kwenye mstari mrefu wa "kipumbavu" wa kupiga Kura eeh?
 
Unajiona mjanja, hizi ni point za washamba wa nyarugusu uko
nimekoma aisee! 😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾 Mkuu, mie siyo mjanja, na I had never been a mjanja, never!
Huko Nyarugusu itabide nifike nijionee (kutalii) Tanzania yetu. Thanks for the tip! Much respect kwako.
 
Back
Top Bottom