Jiwe la kudumu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 301
- 245
Nimeamini ukimkabidhi mshamba jambo lazima ataudhihirisha ushamba wake tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo muda wa ku-type jarida refu la kipumbavu lote hili umeutoa wapi?😂😂😂😂 huyo mdada itabidi akatae pia kula WALI maana wali unatoka kwenye mpunga ambao huwa ni Mmea wa kijani. Pia akatae kula UGALI wa Mahindi pia, mahindi mmea wake ni wa Kijani pia...
Nenda kajiunge nao muwe threesome!Wiki bila kampeni? Yeye na Bulaya kilichobaki ni kujifungia maghettoni tu mwanzo mwisho. Chadema ni laana kwa hili taifa
Huyu mwamba ndiyo anayaishi matusi wengine wanaigiza tuhana sera matusi tu
Madhara ya kuvaa kijani na njano kwa wakati mmoja,hapa walikusanyika kwenye mkutano, nyuki kuona njano na kijani zimekusanyika wakajua ni shamba LA alizeti wakavamia.😂😂😂😂 huyo mdada itabidi akatae pia kula WALI maana wali unatoka kwenye mpunga ambao huwa ni Mmea wa kijani. Pia akatae kula UGALI wa Mahindi pia, mahindi mmea wake ni wa Kijani pia...
KweliUzuriii matusi yenu yanazidiii kuwatafuna wenyewee.
Mkuu huwa unamsikiliza Charles Mahera vizurii?? Kamati ya maadili ni danganya toto tu.Kamati ya maadili siyo NEC, ile inaundwa na wawakilishi kutoka vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi!!.
Mdee hata asipopiga kampeni atashinda kwa kishindo Kawe hawanunuliki kwa chumvi.Halima Kawe hatukutaki. Wewe subiri uingie bungeni kwa tiketi ya viti maalum.
Rais nitampigia Lissu,ubunge nitampa kura yangu Gwajiboy. Halafu nani akufungie kampein jamani ?Acha kuleta mizengwe.
Uyo dada hana akili ni taahira kama alivyo taahira mgombea wenu wa Urais.Sio Kawe tu nchi nzima CCM ni laana, Leo kuna mdada kakataa kununua ice cream kisa ni ya kijani. Na kasema kabisa mimi sitaki hii rangi sio CCM Mimi.
Nipe no zake mkuuSio Kawe tu nchi nzima CCM ni laana, Leo kuna mdada kakataa kununua ice cream kisa ni ya kijani. Na kasema kabisa mimi sitaki hii rangi sio CCM Mimi.
Ulichoandika kinasadifu upumbavu wako!Wiki bila kampeni? Yeye na Bulaya kilichobaki ni kujifungia maghettoni tu mwanzo mwisho. Chadema ni laana kwa hili taifa.
Wapumbav kweli hawa NEC,hawakusikia Matiko akiitwa malaya kwenye majukwaa ya kampeni za CCM?shwain,mwendelezo ule ule wa kukibeba chama tawala!Sasa Kama mnaenda kinyume na maadili ambayo mmekubaliana wenyewe na mmesaini wenye kuyatekeleza mnataka muachwe tu muingize nchi kwenye vurugu?
Watanzania sisi hatujazoea fujo fanyeni kampeni kwa kunadi sera za chama sio kuendekeza vurugu halafu mkichukuliwa hatua mnakimbilia mitandaoni kulalamika by the way sisi huku hatuna Cha kuwasaidia zaidi ya kuwashauri kuwa mfanye kampeni z kistaarabu uchaguzi uishe kwa amani tuendelee na maisha yetu Kama kawaida.
Halima.........?Kuna watu hamlali, ila naomba Mimi niwe tofauti kidogo, kila nikimtazama Halima huwa namuona kuwa Wife material wa aina yangu, yaani namkubali mpaka najishangaa! Rafiki yangu anasema eti ni kheri niote ndoto za kujenga angani ila si ya kumpata Halima!
Wana Kawe msiniangushe, hata kumuona tu bungeni nafsi yangu ataridhika! Samahani kwa niliyemkwaza, ni moyo tu jamani!