Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

Halima Kawe hatukutaki. Wewe subiri uingie bungeni kwa tiketi ya viti maalum.
Rais nitampigia Lissu,ubunge nitampa kura yangu Gwajiboy. Halafu nani akufungie kampein jamani ?Acha kuleta mizengwe.
Na ndo maana anawapiga kifudi fudi
 
Hivi haya maCCM yasokuwa na haya ni lini yataacha kuminya haki za binadamu kwa kutumia tume ya Uchaguzi ya CCM?
 
Hizi ni sheria za hovyo zisizo na madhara. Mgombea kama Mdee hizo siku 7 haziwezi kumdhuru kabisa.

Jimbo la Kawe nilitegemea kampeni zilizochangamka ila naona Gwajiboy amepwaya sana hadi amefikia kubebwa.
 
NEC kuna kitu wanakitafuta. Wanamfurahisha Bw Yule kwa lile tamko lake la kumkataa mtoto wa dada eti Gwaji Boy ndiyo anaweza. Sasa maji ya shingo NEC wanajaribu kila liwezekanalo.

Halima ni Mtoto wa Mijini Mtoto wa Kawe wala asiwe na hofu Jimbo ni lake.
 
Kawe ni ya Gwajima kuanzia tarehe 29/10

Ni vigumu kuamini lkn huo ndiyo uhalisia. Finally, hii tabia ya kufungiwa halafu mkafanya kampeni kwa kununua machungwa sokoni iishe.

Hukumu hiyo inafaa kuongezewa masharti ili cku saba zote uwe ndani - kula kulala
 
Kawe ni ya Gwajima kuanzia tarehe 29/10
Ni vigumu kuamini lkn huo ndiyo uhalisia. Finally, hii tabia ya kufungiwa halafu mkafanya kampeni kwa kununua machungwa sokoni iishe.

Hukumu hiyo inafaa kuongezewa masharti ili cku saba zote uwe ndani - kula kulala
Hivi nyie mlioshindwa majimboni nanyi mna sauti bado? Au ndio nyie mlioahidiwa kuteuliwa baada ya kushindwa kura za maoni majimboni? Ukishindwa kaa kimya.
 
Sio Kawe tu nchi nzima CCM ni laana, Leo kuna mdada kakataa kununua ice cream kisa ni ya kijani. Na kasema kabisa mimi sitaki hii rangi sio CCM Mimi.
😂😂😂😂 huyo mdada itabidi akatae pia kula WALI maana wali unatoka kwenye mpunga ambao huwa ni Mmea wa kijani.
Pia akatae kula UGALI wa Mahindi pia, mahindi mmea wake ni wa Kijani pia...
Pia akatae kula NYAMA (beef) maana Ng'ombe huneemeka na kupata Nyama zao kutoka kwenye chakula chao (Majani) ambayo nayo ni Kijani pia vile vile...
Pia huyo Mdada inabidi asiishi kwenye Nyumba yenye Paa ambalo limetumia MBAO kwa ujenzi sababu Mbao hutokana na Miti na MITI huneemeka na kukua (grow) kwa msaada wa CHLOROPHYLL za Majani ya Miti ni za Kijani pia. Na kazi ya Chlorophyll inajulikana.
Pia Huyo mdada aache kula PARACHICHI, MAEMBE, MACHUNGWA, VEGETABLES etc.
Pia aache kutumia UMEME wowote ule ambao NYAYA zake zimefungwa kwenye NGUZO zitokanazo na MITI...
Pia aache kula CHIPS, IRISH POTATOES etc. Mazao ya mimea ya Kijani kiujumla wake, You name it iwe ni NGANO, KARANGA, MAHARAGE, MAFUTA YA ALIZETI etc.
My point is, Rangi ya Chama sio Tatizo, Tatizo ni itikadi na Sera za Chama. .
Cha Msingi ni hiviii, huyo Mdada asiishie kupiga kelele tu bali ahakikishe kuwa amepiga KURA yake ikifika Tarehe 28 OCTOBA 2020 ili achague DIWANI, MBUNGE na RAIS yeyote yule ambaye huyo mdada anaona kuwa atafaa kwa maendeleo ya nchi.
NASISITIZA TUPIGE KURA KWA WINGI.
KURA ZA KITUO HUSIKA ZINAPOHESABIWA MAKADA WA CHA HUSIKA HUWA LAZMA WAWEPO KUHAKIKISHA NA KUHESABU.
HIVYO NASISITIZA tena, TUPIGE KURA, tusishie tu kupiga soga vijiweni na online bila KUPIGA KURA (Vote).
 
Hivi nyie mlioshindwa majimboni nanyi mna sauti bado? Au ndio nyie mlioahidiwa kuteuliwa baada ya kushindwa kura za maoni majimboni? Ukishindwa kaa kimya.
Unachosema sikijui - sijawahi wala sina nia ya kuingia ktk vinyanganyiro "umenifananisha".

Kifungo cha Mdee hakina uonevu na asilaumu tume
 
Unachosema sikijui - sijawahi wala sina nia ya kuingia ktk vinyanganyiro "umenifananisha".

Kifungo cha Mdee hakina uonevu na asilaumu tume
Labda jina lako nimelifananisha na Muhaya mmoja hivi alishindwa kura za maoni huko Kagera.

Unonevu upo mkubwa, aliyeanza matusi na lugha za kashfa kwa mgombea mwenzake ni Gwajiboy, alimuita bi kidude, betina na kamzushia kuiba pesa za mfuko wa jimbo NA MENGINE PERSONAL.

Sasa unaposema hakuna uonevu, sijui unamaanisha nini? aliye anza ni Gwajiboy kachukuliwa hatua yoyote au ukiwa ccm unakuwa na immunity?
 
Back
Top Bottom