Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

Wanajisumbua hao vibaraka,hivi chadema tu.ccm hakuna.mwaka huu watayasema na wao.mda in mwalimu mzuri.
 
Halima Kawe hatukutaki. Wewe subiri uingie bungeni kwa tiketi ya viti maalum.
Rais nitampigia Lissu,ubunge nitampa kura yangu Gwajiboy. Halafu nani akufungie kampein jamani ?Acha kuleta mizengwe.
Wee kweli ni mfuasi wa ufufuo na uzima. Akili zako na za gwajima zime tally. Hapati gwajima
 
Kwa Kawe hata ingekuwa ni Gwajima na Jiwe, watu watapigia Jiwe
Nitawakumbusha tar 29
 
Halima wewe fuata nyayo za Lissu maana huna namna nyingine. Nenda kaulizie bei ya kokoto kule chimboni, kanunue mchele gengeni na vizia vikao vya harusi au sherehe, changa uingie humo.

Kwenye hizo mishe zote piga picha usambaze😊
 
Hata ukifungiwa wanakawe wote wakujua halima unatetea jimbo kurazao watakupa tunahitaji uhuru haki namaendeleo yawatu.
 
Gwajima atapewa kura na mbwa Hivi waislamu misikiti igeuzwe Sunday schools? Wakatoliki mtakubali kumpa kura huyu anayewatuhumu upagani? Na nuke wastaarabu wengine huyu kibaka malaya mla kondoo aende mjengoni kweli?
 
Gwaji boy Mzee wa kukojolea waumini wake, kaweka pingamizi
 
Kama amekutwa na hatia ataadhibiwa tuu, kujiwahisha kusema hakutishi athourity kumpa adhabu ova!
Of course kama kakosea inabidi awajibishwe,na utaratibu ufuatwe.kama ameonewa atapata kura nyingi zaidi ya Gwajima.Trust me watanzania sasa wanasimamaga na wanyonge
 
Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee.


Msagaji
Huu upuuzi ndio unaiangamiza kabisa CCM! Kila mwenye akili timamu anafahamu wazi kuwa CHADEMA wanaonewa na CCM inapendelewa...chuki inakuwa kubwa sana kwa CCM ndio maana sasa hivi hawafanyi tena siasa inategemea hujuma tu za vyombo vya Dola
Chadema ndio nini?. Hili genge la wachumia tumbo nani analiulizia hata kwa mfano. Mtalalamika wee mpaka tarehe 28,mkija kupata akili 2040.
 
Hii nchi raha sana. CCM wanatukana mpaka wanaita watu malaya. Wagombea wao wanatishia wananchi kuwa hawataleta maendeleo. Mgombea wao anachanganya siasa na serikali. Wapinzani wakipeleka malalamiko hata hoja hazisikilizwi ila Wa Upinzani hasa CHADEMA akituhumiwa tu kikao kinakaa hata saa sita usiku. Ila tutafika tu. "One day Yes"
mkuu mwaka huu lazima tuwekewe vikwanzo vya kiuchumi
 
Back
Top Bottom