antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Zipi?Hoja ya msingi ni je, kwanini hukuheshimu kanuni za uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipi?Hoja ya msingi ni je, kwanini hukuheshimu kanuni za uchaguzi?
Wewe na nani!?Halima Kawe hatukutaki. Wewe subiri uingie bungeni kwa tiketi ya viti maalum.
Rais nitampigia Lissu,ubunge nitampa kura yangu Gwajiboy. Halafu nani akufungie kampein jamani ?Acha kuleta mizengwe.
Hivo vyama ni vya ccmKamati ya maadili siyo tume inawajumbe 18 wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi kikiwemo CHADEMA aache kulia lia mitandaoni
Kamanda akiongea kinyongeHaya mambo yanakera sana, lakini pia ndio yanayofanya chama fulani na wagombea wake kukataliwa/kuchukiwa na wananchi.
Anyway,kiashiria cha haki kupatikana, huwa ni kuongezeka kwa dhuluma na uonevu.
Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee.
Infact hapa wanampigia kampeni Halima kama hawajui. Kuna sympathy ya watu inakuja kuwa anaonewa....Haya mambo yanakera sana, lakini pia ndio yanayofanya chama fulani na wagombea wake kukataliwa/kuchukiwa na wananchi.
Anyway,kiashiria cha haki kupatikana, huwa ni kuongezeka kwa dhuluma na uonevu.
Msiwe wajinga wa akili,vyama pinzani hasa wahuni wanachofanya ni kivunja sheria ili wakitiwa kashikashi yoyote wao waigeuze kua mtaji kwa wajingaDuuh!! Naona NEC wanapima upepo kwanza. Waone ikitokea wakalazimisha ushindi watu watachukua hatua gani?
Big up nec
Hivyo vyama washirika wa CCM upuuzi mtupu, walishamuunga mkono Magufuli halafu unawapelekea kesi ya mgombea wa Chadema watoe maamuzi.. bulls.it!.