Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wewe ni mwanaKawe mwenzanguLabda jina lako nimelifananisha na Muhaya mmoja hivi alishindwa kura za maoni huko kagera.
Unonevu upo mkubwa, aliyeanza matusi na lugha za kashfa kwa mgombea mwenzake ni Gwajiboy, alimuita bi kidude, betina na kamzushia kuiba pesa za mfuko wa jimbo NA MENGINE PERSONAL. Sasa unaposema hakuna uonevu, sijui unamaanisha nini? aliye anza ni Gwajiboy kachukuliwa hatua yoyote au ukiwa ccm unakuwa na immunity?
Kweli kabisa matusi ni mabaya sana ila sijawahi kusikia mtu anatukana hadharani tena watu waliomzidi umri na wadhifa kama Gwajima. Kiumbe anajua kutukana yule wee acha tu.Asante Mungu, huyu kibwengo safari hii bunge atalisikilizia redioni. Akome kuleta upunguani badala ya sera. Wafuasi wake mmekuwa wajinga kwa kuendekeza matusi, kizazi chenu hiki hakika mnakwisha kabisa na mtapotea na system itatengeneza upinzani mpya wenye kujenga hoja na siyo nyie misukule yenye vinywa visivyokuwa na staha kwa wakubwa.
Hivi huyo mgombea wenu ameshamaliza kutumikia adhabu yake ya utovu wa nidhamu?Matusi ni kama yale ya Gwajima kwenye ile clip. Haya mengine matamshi tu.
Kamati ya maadili siyo NEC, ile inaundwa na wawakilishi kutoka vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi!NEC kuna kitu wanakitafuta. Wanamfurahisha Bw Yule kwa lile tamko lake la kumkataa mtoto wa dada eti Gwaji Boy ndiyo anaweza. Sasa maji ya shingo NEC wanajaribu kila liwezekanalo.
Halima ni Mtoto wa Mijini Mtoto wa Kawe wala asiwe na hofu Jimbo ni lake.
Condom moja tuu ingezuia wewe kuzaliwaWiki bila kampeni? Yeye na Bulaya kilichobaki ni kujifungia maghettoni tu mwanzo mwisho. Chadema ni laana kwa hili taifa
Kawe ni ya Gwajima kuanzia tarehe 29/10
Ni vigumu kuamini lkn huo ndiyo uhalisia. Finally, hii tabia ya kufungiwa halafu mkafanya kampeni kwa kununua machungwa sokoni iishe.
Hukumu hiyo inafaa kuongezewa masharti ili cku saba zote uwe ndani - kula kulala
Unajiona mjanja, hizi ni point za washamba wa nyarugusu uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mdada itabidi akatae pia kula WALI maana wali unatoka kwenye mpunga ambao huwa ni Mmea wa kijani.
Pia akatae kula UGALI wa Mahindi pia, mahindi mmea wake ni wa Kijani pia...
Uyu msakila wa sumbawanga,mzalendo wa kweli,alikua ndugu yako???kaacha wajinga na wapuuzi wengi sanaUnachosema sikijui - sijawahi wala sina nia ya kuingia ktk vinyanganyiro "umenifananisha".
Kifungo cha Mdee hakina uonevu na asilaumu tume
Watanzania wengi mna ujinga mkubwa tu vichwani, hawa kina Halima na kina Lema sijui Tundu,wote hawa ni kundi la kihuni tu, maji yanapowafika shingoni wanatafuta kutengeneza story kwa makusudi, cha ajabu kuna watu kama nyie msiojiongeza jua hao watu ni wahuni na wembamba sana katika kuwatumikia wananchi, wapo wakipiga kelele ili kuona watatumia ujinga wa kina nani na wangapi kuwapa kura ili maisha yao yaende na familia zao, bahati mbaya sana kwao wana kakundi ka wananchi wajinga kama wewe %20 tu ya wananchi wote na %10 tu ya wapiga kura.Hizi ni sheria za hovyo zisizo na madhara. Mgombea kama Mdee hizo siku 7 haziwezi kumdhuru kabisa.
Jimbo la Kawe nilitegemea kampeni zilizochangamka ila naona Gwajiboy amepwaya sana hadi amefikia kubebwa.
Hata simjui, ujinga kwa muktadha wa mtu awaye tofauti na mawazo yako sawa lkn mwanafalsafa aitwaye Nkwameh Nkurumah rais wa taifa la Ghana aliwahi kusema kwamba"one will compromise on programs not on principal".Uyu msakila wa sumbawanga,mzalendo wa kweli,alikua ndugu yako???kaacha wajinga na wapuuzi wengi sana