Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Nenda na wewe usugue
 
Samia ni mama yako?
Watu wa bara hamjui kiswahili,rejea hotuba ya mzee Ruksa siku ya mazishi ya JPM alisema mwanamke yeyote huku pwani tunamuita mama,akiwa binti anaitwa dada bila kujali umri wake,nikisema nina dada wawili huenda ni wadogo kwangu kiumri ila ni dada tu
 
Yani wewe kama Baba halafu unakuja kuhadithiwa vitu vya aina hiyo na mtoto wako wa kike!
Kuna kitu hakipo sawa kati yako na huyo Binti yako,jitafakari kisha badili aina ya malezi kwa huyo Binti yako kama utakua bado hujachelewa.
Unaishi maisha ya kishamba
 
Huyo jamaa KARMA itamsumbua sana katika maisha yake !!

Kudhalilisha watu sio jambo jema !
Na malipo ni hapa hapa Duniani !

Kwa wale wasioamini uwepo wa Mungu wajue basi ipo pia Law of the Universe !
What goes around Comes around !

Wataadhibiwa tu hata kwa kupewa magonjwa Sugu makubwa makubwa
Just to make them pay the heavy price for what they did to others !!
 
Mm ni mmoja wapo nilikua sijui kabisa kinacho endelea mpaka siku PM alivo ropoka.

Very shame on him.
 
Watu wa bara hamjui kiswahili,rejea hotuba ya mzee Ruksa siku ya mazishi ya JPM alisema mwanamke yeyote huku pwani tunamuita mama,akiwa binti anaitwa dada bila kujali umri wake,nikisema nina dada wawili huenda ni wadogo kwangu kiumri ila ni dada tu
Mimi nimezaliwa pwani yaani mikindani kwahiyo unataka kuniambia nini?
 
Magufuli alitukanwa mno na huyo mange ila humu ndani mulifurahi sana na samia nae akaenda marekani akaonana na mange wakapiga picha huku wanafurahi mno..... je kiko wapi leo? Kwangu ni dharau nchi kuongozwa na mwanamke
 
Ulivyoandika kama vile Marekani ni kijijini kwenu na Balozi ni IGP wa sungusungu hapo Kiabakari
 
sasa kama umezaliwa mikindani hujui basi kama mwanamke mwenye umri mkubwa (labda kuanzia 40 na kwenda juu) huwa anaitwa mama? Kwa mila za pwani inamaanisha hii, siyo lazima awe mama mzazi, ni heshima anayopewa tu.
Hayo ni mafunzo ya dini gani?
 
Moakondo ni mwendawazimu kama babayake wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…