Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Itakuwa huyo mtoto alishaambiwa na mama yake kuwa wewe siyo baba yake mzazi na wewe ni kubwa jinga na ndio maana basi alikueleza hayo.kwa sababu hapo alikuwa anaona anapiga story na mtu anayemchukulia kama mtoto mwenzake .ungekuwa na akili timamu ungetambua haya nayokuambia na namna mtoto huyo anavyokudharau na kukuona huna akili.
Nenda na wewe usugue
 
Yani wewe kama Baba halafu unakuja kuhadithiwa vitu vya aina hiyo na mtoto wako wa kike!
Kuna kitu hakipo sawa kati yako na huyo Binti yako,jitafakari kisha badili aina ya malezi kwa huyo Binti yako kama utakua bado hujachelewa.
Unaishi maisha ya kishamba
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia


hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa
Huyo jamaa KARMA itamsumbua sana katika maisha yake !!

Kudhalilisha watu sio jambo jema !
Na malipo ni hapa hapa Duniani !

Kwa wale wasioamini uwepo wa Mungu wajue basi ipo pia Law of the Universe !
What goes around Comes around !

Wataadhibiwa tu hata kwa kupewa magonjwa Sugu makubwa makubwa
Just to make them pay the heavy price for what they did to others !!
 
Wengi walikua hawajui kinachoendelea mitandaoni lakini baada ya makonda kusteal the show kwenye kumbukizi ya hayati sokoine ndo wakaanza kufuatilia hayo matusi, ni kama alichangia watu wajue ni matusi gani hao mawaziri wanalipa watu kumtusi raisi,zero brain ni zero tu,
Mm ni mmoja wapo nilikua sijui kabisa kinacho endelea mpaka siku PM alivo ropoka.

Very shame on him.
 
Watu wa bara hamjui kiswahili,rejea hotuba ya mzee Ruksa siku ya mazishi ya JPM alisema mwanamke yeyote huku pwani tunamuita mama,akiwa binti anaitwa dada bila kujali umri wake,nikisema nina dada wawili huenda ni wadogo kwangu kiumri ila ni dada tu
Mimi nimezaliwa pwani yaani mikindani kwahiyo unataka kuniambia nini?
 
Hata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.

Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
Ulivyoandika kama vile Marekani ni kijijini kwenu na Balozi ni IGP wa sungusungu hapo Kiabakari
 
sasa kama umezaliwa mikindani hujui basi kama mwanamke mwenye umri mkubwa (labda kuanzia 40 na kwenda juu) huwa anaitwa mama? Kwa mila za pwani inamaanisha hii, siyo lazima awe mama mzazi, ni heshima anayopewa tu.
Hayo ni mafunzo ya dini gani?
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.

Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Moakondo ni mwendawazimu kama babayake wa chato
 
Back
Top Bottom