Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Samia ni mama yako?Anayefurahia kutukaniwa mama yake sio mzima huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia ni mama yako?Anayefurahia kutukaniwa mama yake sio mzima huyo
Nenda na wewe usugueItakuwa huyo mtoto alishaambiwa na mama yake kuwa wewe siyo baba yake mzazi na wewe ni kubwa jinga na ndio maana basi alikueleza hayo.kwa sababu hapo alikuwa anaona anapiga story na mtu anayemchukulia kama mtoto mwenzake .ungekuwa na akili timamu ungetambua haya nayokuambia na namna mtoto huyo anavyokudharau na kukuona huna akili.
Watu wa bara hamjui kiswahili,rejea hotuba ya mzee Ruksa siku ya mazishi ya JPM alisema mwanamke yeyote huku pwani tunamuita mama,akiwa binti anaitwa dada bila kujali umri wake,nikisema nina dada wawili huenda ni wadogo kwangu kiumri ila ni dada tuSamia ni mama yako?
Unaishi maisha ya kishambaYani wewe kama Baba halafu unakuja kuhadithiwa vitu vya aina hiyo na mtoto wako wa kike!
Kuna kitu hakipo sawa kati yako na huyo Binti yako,jitafakari kisha badili aina ya malezi kwa huyo Binti yako kama utakua bado hujachelewa.
Sawa,endelea kuishi maisha ya kisasa na huyo binti yako,ipo siku atakuja kukusimulia pia jinsi anavyofukuliwa.Unaishi maisha ya kishamba
at least Baba wa Taifa but not to say Mama yangu Mpendwa....Makosa yalianza kwa kumuita Nyerere baba wa Taifa
Huyo jamaa KARMA itamsumbua sana katika maisha yake !!Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia
hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.
Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .
Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.
Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa
Mm ni mmoja wapo nilikua sijui kabisa kinacho endelea mpaka siku PM alivo ropoka.Wengi walikua hawajui kinachoendelea mitandaoni lakini baada ya makonda kusteal the show kwenye kumbukizi ya hayati sokoine ndo wakaanza kufuatilia hayo matusi, ni kama alichangia watu wajue ni matusi gani hao mawaziri wanalipa watu kumtusi raisi,zero brain ni zero tu,
Mimi nimezaliwa pwani yaani mikindani kwahiyo unataka kuniambia nini?Watu wa bara hamjui kiswahili,rejea hotuba ya mzee Ruksa siku ya mazishi ya JPM alisema mwanamke yeyote huku pwani tunamuita mama,akiwa binti anaitwa dada bila kujali umri wake,nikisema nina dada wawili huenda ni wadogo kwangu kiumri ila ni dada tu
Magufuli alitukanwa mno na huyo mange ila humu ndani mulifurahi sana na samia nae akaenda marekani akaonana na mange wakapiga picha huku wanafurahi mno..... je kiko wapi leo? Kwangu ni dharau nchi kuongozwa na mwanamke
Ulivyoandika kama vile Marekani ni kijijini kwenu na Balozi ni IGP wa sungusungu hapo KiabakariHata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.
Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
sasa kama umezaliwa mikindani hujui basi kama mwanamke mwenye umri mkubwa (labda kuanzia 40 na kwenda juu) huwa anaitwa mama? Kwa mila za pwani inamaanisha hii, siyo lazima awe mama mzazi, ni heshima anayopewa tu.Mimi nimezaliwa pwani yaani mikindani kwahiyo unataka kuniambia nini?
Wengi tulikuwa hatujui kabisa kuhusu hiyo habari !Mm ni mmoja wapo nilikua sijui kabisa kinacho endelea mpaka siku PM alivo ropoka.
Very shame on him.
mimi ni sawa na dada yako mkubwa, tena kwa mbali kabisa maana hata huyo last born wetu ana miaka 60 sasa!Nina miaka 58 kiufupi wewe ni sawa na umri wa mkewangu
Swali zuriDuh
Hao Mawaziri watukanaji aliwataja? Maana hilo ndio muhimu Ili waadhibiwe
Hayo ni mafunzo ya dini gani?sasa kama umezaliwa mikindani hujui basi kama mwanamke mwenye umri mkubwa (labda kuanzia 40 na kwenda juu) huwa anaitwa mama? Kwa mila za pwani inamaanisha hii, siyo lazima awe mama mzazi, ni heshima anayopewa tu.
Moakondo ni mwendawazimu kama babayake wa chatoKwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.
Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .
Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.
Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.
Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa