bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
mimi nimetaja dini? au huelewi mambo ya mila?Hayo ni mafunzo ya dini gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nimetaja dini? au huelewi mambo ya mila?Hayo ni mafunzo ya dini gani?
Ni dharau zaidi mtu Kama wewe kuzaliwa na mwanamke, ilifaa akubanie mapajani tu!Magufuli alitukanwa mno na huyo mange ila humu ndani mulifurahi sana na samia nae akaenda marekani akaonana na mange wakapiga picha huku wanafurahi mno..... je kiko wapi leo? Kwangu ni dharau nchi kuongozwa na mwanamke
Kazi ya Balozi siyo kedeal na upuuzi tunawalipa mabalozi kwa kazi muhimu, kama unakerwa na mama yako kutukanwa kunywabsimu ufe kabisaHata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.
Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
Suala la ku leak information sio la IT, hapa ni ethics vs morals (sio rahis unavyothan) Weak leaks wana receive information kutoka source mbali mbali. Swali ni je hata zikiwa leaked nani atamuwajibisha yupi?sidhani kama balozi anaweza kuchukuwa hatua ya kumshtaki huyo mtukanaji huko marekani. Kwanza matusi yenyewe ni ya kiswahili, halafu kwa Marekani sijui kama inakwenda kwenye udhalilishaji.
Ila hawa ma IT specialists wetu hawawezi kufanya 'wikileak' style wakatoa majina ya wale wanaopeleka umbeya wa aina hiyo huko? Nadhani wakitajwa wawili watatu wengine kidogo watapiga breki.
Kuna haja ya kuchambua kidogo;sidhani kama balozi anaweza kuchukuwa hatua ya kumshtaki huyo mtukanaji huko marekani. Kwanza matusi yenyewe ni ya kiswahili, halafu kwa Marekani sijui kama inakwenda kwenye udhalilishaji.
Ila hawa ma IT specialists wetu hawawezi kufanya 'wikileak' style wakatoa majina ya wale wanaopeleka umbeya wa aina hiyo huko? Nadhani wakitajwa wawili watatu wengine kidogo watapiga breki.
Kwamba hayo matusi ndio yanawasaidia kupata hiyo Bandari, Ngorongoro na Katiba mpya?!Kazi ya Balozi siyo kedeal na upuuzi tunawalipa mabalozi kwa kazi muhimu, kama unakerwa na mama yako kutukanwa kunywabsimu ufe kabisa
Si bado tunataka bandari yetu, ngorongoro yetu na katiba mpya
Ukumjua mmoja unamuexecute kimyakimya hata kwa ajali ya helicopterSuala la ku leak information sio la IT, hapa ni ethics vs morals (sio rahis unavyothan) Weak leaks wana receive information kutoka source mbali mbali. Swali ni je hata zikiwa leaked nani atamuwajibisha yupi?
Uko sahihi,namba 2 haina nguvu,tatizo kwenye mitandao kuna hiyonamba 1Kuna haja ya kuchambua kidogo;
1. Je kuna taarifa za faragha zilizovujishwa zinazodhalilisha?
2. Matusi tu ya mtaani yasiyokuwa na uelekeo yatolewayo na wahuni wasio na heshima wala akili.
Namba 1 tunahitaji intelijensia kudhibiti ili tulinde heshima ya Rais wetu.
Namba 2 haina uzito sana ila waweza kushughulikiwa sawa sawa na uhuni wao (bakora za namna yake) au kupuuzwa tu.
wewe ni dini gani?Unatuangusha sasa sisi watu wa pwani,mama sio lazima akuzae
Hata mkeo anaweza kuitwa na majirani mama mchihanguuu,binti yako pia unaweza kumuita mama
Najua inakuumiza mno ila jiulize kwanini mwanamke hawi imamu msikitini?Ni dharau zaidi mtu Kama wewe kuzaliwa na mwanamke, ilifaa akubanie mapajani tu!
Wewe unafuata mila au dini?mimi nimetaja dini? au huelewi mambo ya mila?
Kwamba protocol za msikitini ndio blueprint ya protocol za nchi? Tanzania au?Najua inakuumiza mno ila jiulize kwanini mwanamke hawi imamu msikitini?
Sasa hiyo namba moja hushughulikiwa kimya kimya bila kelele.Uko sahihi,namba 2 haina nguvu,tatizo kwenye mitandao kuna hiyonamba 1
JK yaliwahi kumkuta jamaa wakaingia chimbo kimya kimya wakamdaka kumbe alikuwa mtoto wa Job Lusinde.Sasa hiyo namba moja hushughulikiwa kimya kimya bila kelele.
Changamoto yaweza kuwa aina ya watu watakaoshughulikia (waweza kufuga majibwa lakini yakawa koko pia).
nimekuuliza unadhani kwanini Mungu hajaruhusu mwanamke awe imamu?Kwamba protocol za msikitini ndio blueprint ya protocol za nchi? Tanzania au?