Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Magufuli alitukanwa mno na huyo mange ila humu ndani mulifurahi sana na samia nae akaenda marekani akaonana na mange wakapiga picha huku wanafurahi mno..... je kiko wapi leo? Kwangu ni dharau nchi kuongozwa na mwanamke
Ni dharau zaidi mtu Kama wewe kuzaliwa na mwanamke, ilifaa akubanie mapajani tu!
 
Hata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.

Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
Kazi ya Balozi siyo kedeal na upuuzi tunawalipa mabalozi kwa kazi muhimu, kama unakerwa na mama yako kutukanwa kunywabsimu ufe kabisa

Si bado tunataka bandari yetu, ngorongoro yetu na katiba mpya
 
sidhani kama balozi anaweza kuchukuwa hatua ya kumshtaki huyo mtukanaji huko marekani. Kwanza matusi yenyewe ni ya kiswahili, halafu kwa Marekani sijui kama inakwenda kwenye udhalilishaji.

Ila hawa ma IT specialists wetu hawawezi kufanya 'wikileak' style wakatoa majina ya wale wanaopeleka umbeya wa aina hiyo huko? Nadhani wakitajwa wawili watatu wengine kidogo watapiga breki.
Suala la ku leak information sio la IT, hapa ni ethics vs morals (sio rahis unavyothan) Weak leaks wana receive information kutoka source mbali mbali. Swali ni je hata zikiwa leaked nani atamuwajibisha yupi?
 
Mimi nimezaliwa pwani yaani mikindani kwahiyo unataka kuniambia nini?
Unatuangusha sasa sisi watu wa pwani,mama sio lazima akuzae
Hata mkeo anaweza kuitwa na majirani mama mchihanguuu,binti yako pia unaweza kumuita mama
 
sidhani kama balozi anaweza kuchukuwa hatua ya kumshtaki huyo mtukanaji huko marekani. Kwanza matusi yenyewe ni ya kiswahili, halafu kwa Marekani sijui kama inakwenda kwenye udhalilishaji.

Ila hawa ma IT specialists wetu hawawezi kufanya 'wikileak' style wakatoa majina ya wale wanaopeleka umbeya wa aina hiyo huko? Nadhani wakitajwa wawili watatu wengine kidogo watapiga breki.
Kuna haja ya kuchambua kidogo;
1. Je kuna taarifa za faragha zilizovujishwa zinazodhalilisha?
2. Matusi tu ya mtaani yasiyokuwa na uelekeo yatolewayo na wahuni wasio na heshima wala akili.

Namba 1 tunahitaji intelijensia kudhibiti ili tulinde heshima ya Rais wetu.
Namba 2 haina uzito sana ila waweza kushughulikiwa sawa sawa na uhuni wao (bakora za namna yake) au kupuuzwa tu.
 
Kazi ya Balozi siyo kedeal na upuuzi tunawalipa mabalozi kwa kazi muhimu, kama unakerwa na mama yako kutukanwa kunywabsimu ufe kabisa

Si bado tunataka bandari yetu, ngorongoro yetu na katiba mpya
Kwamba hayo matusi ndio yanawasaidia kupata hiyo Bandari, Ngorongoro na Katiba mpya?!
 
Suala la ku leak information sio la IT, hapa ni ethics vs morals (sio rahis unavyothan) Weak leaks wana receive information kutoka source mbali mbali. Swali ni je hata zikiwa leaked nani atamuwajibisha yupi?
Ukumjua mmoja unamuexecute kimyakimya hata kwa ajali ya helicopter
 
Kuna haja ya kuchambua kidogo;
1. Je kuna taarifa za faragha zilizovujishwa zinazodhalilisha?
2. Matusi tu ya mtaani yasiyokuwa na uelekeo yatolewayo na wahuni wasio na heshima wala akili.

Namba 1 tunahitaji intelijensia kudhibiti ili tulinde heshima ya Rais wetu.
Namba 2 haina uzito sana ila waweza kushughulikiwa sawa sawa na uhuni wao (bakora za namna yake) au kupuuzwa tu.
Uko sahihi,namba 2 haina nguvu,tatizo kwenye mitandao kuna hiyonamba 1
 
Sasa hiyo namba moja hushughulikiwa kimya kimya bila kelele.
Changamoto yaweza kuwa aina ya watu watakaoshughulikia (waweza kufuga majibwa lakini yakawa koko pia).
 
JK yaliwahi kumkuta jamaa wakaingia chimbo kimya kimya wakamdaka kumbe alikuwa mtoto wa Job Lusinde.
Sasa Makonda hana hizo akili
 
Back
Top Bottom