Mchina atatufilisi kabisa na mikataba yake ya kitapeli.
Umeshau masharti ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo?
Tujiandae tu kuwa kama Zimbawe ya Mugabe.
Nyie endeleeni kujibebisha kwa akina Amsterdam,Yani yuko radhi watu zaidi ya Milioni 50 wapate ugumu zaidi wa maisha ili atimize tamaa yake ya madaraka ya nchi na kushinda vita yake binafsi dhidi ya utawala. Halafu eti aje tena 2025 apewe Uraisi. Ni kama ana uchizi flani hivi.
Wanaishi kwa kukariri.Mambo wamebadilika mkuu, enzi za mikataba ya bagamoyo sio hizi, Zimbabwe sio Tanzania ya sasa mkuu
Kazi ndio kwanza imeanzaNyie endeleeni kujibebisha kwa akina Amsterdam,
Utashuhudia tz hii ikiendelea kustawi huku Lisu na huyo beberu wenu mkiendelea kubweka tu.
Kila kitu kinakua dhahiri sasa, bila kificho wapinzani wa Magufuli na CCM yake ni hao EU.... na kina Tundu na Zitto ni wajumbe tuuWanaishi kwa kukariri.
Hadi 2025 wataenda wakiwa wajinga hivi hivi
Hata tulipokuwa tunawaambia Amsterdam atamharibia Lissu na kupata chini ya 20% mlikuwa mnataukana.Propaganda mfu zimeshabuma,kuwaambia watu timamu sijui ushoga kama sababu ni dharau ya hali ya juu!
We both know kwanin nchi imefika hapa tulipo!Hizi danadana ni kazi bure,we know why!
Hili tamko uchwara la mbunge kutoka ujerumani haliwezi kuisumbua kichwa Tanzania kwani ni muendelezo wa lile genge la wapiga debe wa ushoga duniani kutaka kuimpose ushoga nchi nyingine.
Mwaka 2018 walitoa tamko na waliwasilisha bungeni kuhusu misinformation wanazopewa na kina lissu.
Ukiwa na wabunge waongo waongo namna hii ndio maana BREXIT ilifanikiwa.
Lissu mbona amehamia huko ili azile vizuri?Kama tamko halisumbui mbona unahangaika sana tangu jana, kama mmekula pesa za mashoga mtazirudisha tu kwa njia yeyote ile.
Hopeless comment. Just be informed...!Mmekula pesa za watu wakianza kuwadai mnasema wanataka kuleta ushoga Tanzania,
Mnahangaika kweli kuleta vitaarifa uchwara mkidanganywa na Kibaraka Lissu na beberu lenu Amsterdam. Mtanyooka tu kama tulivyowanyoosha kwenye uchaguzi mkuu.Kama tamko halisumbui mbona unahangaika sana tangu jana, kama mmekula pesa za mashoga mtazirudisha tu kwa njia yeyote ile.
Kwa akili kama za watu hawa hivi kabisa tukabidhi nchi kwa wahuni hawa! Si itakua ajabu, wana utoto labda wabalehe jamani.Kwa hizi comments humu ni wazi tuna mazuzu wengi sana nchi hii, halafu wengine ni watu wazima na familia kabisa, hayaelewi kitu ni ushabiki maandazi tu,
Niseme tu Nchi hii itabaki mikononi mwa wazalendo hadi pele haya mazuzu yatapevuka kiakili.
Utopolo tupu unaongea. Mtanyooka tu!Mwambie macho ya paka kabudi ajiandae. Mpaka mseme pesa za covid ziko wapi. Jiwe atazitapika
Namuongelea huyo Lissu hapoNyie endeleeni kujibebisha kwa akina Amsterdam,
Utashuhudia tz hii ikiendelea kustawi huku Lisu na huyo beberu wenu mkiendelea kubweka tu.
Si kila siku tunaambiwa ni nchi tajiri, so tunalilia nini hapa?Mavi ya popo mitaro tu ya maji taka tunashwinda kutengeneza ndio tutoe misaada