CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Onesha ustawi unahadithia kama ManaraLisu mbona amehamia huko ili azile vizuri?
Uliona mtu kaenda kuomba huo msaada? Si walileta wenyewe?
Wajinga nyie,! Na bado hata mkijibebisha kwa akina Amsterdam hamtambulia kitu na mtashuhudia tz hiu ikiendelea kustawi
Kwahiyo vinapanda bei sababu wao hawatoi misaada?Huoni vitu vinapanda bei onesha mpango wenu wa kuvishusha
Unataka ustawi uletwe hapo kwa shemeji yako?Onesha ustawi unahadithia kama manara
Usije ukajidanganya kumwegemea mchina unapokuwa matatizoni, mchina atakusukumizia kwenye matatizo makubwa zaidi.Wanaishi kwa kukariri.
Hadi 2025 wataenda wakiwa wajinga hivi hivi
Na ndio maana tunapambana kujitegemea na sio wale wanaoamini kuwa bila hao wazungu sisi hatuwezi kitu.Mfano wako hauna mashiko labda kama "your intention is to provoke others", lakini yote kwa yote basi viongozi wako wapunguze kupenda vya bure vinagharama zake.
Sisi hatujawahi omba pesa toka hao mabwana zenu walitoa wao tu kama msaada. Hukumsikia Rais alisema hatachukua mkopo kama wanataka wasimamishe malipo ya kila mwezi ya mikopo kwa muda. Lakini wao mabwana zenu wakatoa vipesa viduchu kama msaada. Ulitaka tukatae wakati tunarudisha mali zetu walizotuibia miaka mingi nyuma ikiwemo wakati wa ukoloni.Mara hii unasema mabwana wenu??? 😂😂😂
Nyie mlipoenda kuwadanyanya wawape hela kwa sababu mna covid walikuwa nani zenu??
Wewe unayesema tuna stawi onesha vitu vinashukaje beiKwahiyo vinapanda bei sababu wao hawatoi misaada?
Mara hii unasema mabwana wenu??? 😂😂😂
Nyie mlipoenda kuwadanyanya wawape hela kwa sababu mna covid walikuwa nani zenu??
Kwa hiyo Euro Mil 27 hamkuomba???? Kumbe wewe ni certified kilaza acha nikuache tu😂😂Sisi hatujawahi omba pesa toka hao mabwana zenu walitoa wao tu kama msaada. Hukumsikia Rais alisema hatachukua mkopo kama wanataka wasimamishe malipo ya kila mwezi ya mikopo kwa muda. Lakini wao mabwana zenu wakatoa vipesa viduchu kama msaada. Ulitaka tukatae wakati tunarudisha mali zetu walizotuibia miaka mingi nyuma ikiwemo wakati wa ukoloni.
Kwa hiyo Euro Mil 27 hamkuwai kuomba??? Uko Lumumba mmejaa certified vilaza eeeh???Nani aliwaomba pesa
Subiri, bado kidogo tuu
Utajua hujui
Mtanzania amebadilika mkuu, waulize EU wakueleze😂😂😂😂😂Mchina amebadirika?
Tutakapokuwa hatuna namna nyingine zaidi ya kwenda kwa mchina ndipo utakapomjua vizuri mchina.
Mataifa makubwa yenye uongozi thabiti yamemshindwa huyo mtu. Yeye anajitanabaisha kufanya maendeleo bila vita lakini China pengine kwa sasa ndilo taifa linaloongoza kwa kasi ya ujenzi wa mitambo ya nyuklia.
stratergy za China unazielewa?
Thank you. Hao wanaoitwa "Magasho" wamevuja jasho kutoa kodi zao halafu huku bongo watu wale tuu kirahisi, warudishe. Hayo maendeleo wayafanywe kwa jasho letu, kama hawajarudi kwa magoti kwa mlango wa nyuma kuomba msaada. Lumumba kwa mbwembwe hahahahaKama tamko halisumbui mbona unahangaika sana tangu jana, kama mmekula pesa za mashoga mtazirudisha tu kwa njia yeyote ile.
Kilaza zaidi ya wewe unaesujudu usipowajuaKwa hiyo Euro Mil 27 hamkuwai kuomba??? Uko lumumba mmejaa certified vilaza eeeh???
Kila mtu ashinde mechi zake wewe umewekeza katika nchi kuwekewa vikwazo mimi nipo katika imani ya MAENDELEO makubwa miundo mbinu, kuongeza ajira kwa vijana kwa kuhakikisha viwanda vinastawi, Kuboresha sekta ya afya na mengine mengi mazuri yanayokuja...ila nyie mpo bunge la Ulaya ni utumwa mkubwa wa fikra.Onesha hiyo dira
Amewezaje kuviweka sawa
Food
Clothes
Shelter
Wewe Utopolo tumechukue ili kurudisha mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni. Hivyo hawatudai hata senti moja ya hizo pesa walitoa kwa hiari yao.Kwa iyo Euro Mil 27 hamkuomba???? Kumbe wewe ni certified kilaza acha nikuache tu😂😂
Hatuwezi broo.. Hizo ni mbwembwe za Bongo comedy. Hapa wakiamua kutukazia mtarudi kwa mlango wa nyuma kupiga magoti na kulamba miguu turudishiwe misaada..Na ndio maana tuapambana kujitegemea na sio wale wanao amini kuwa bila hao wazungu sisi hatuwezi kitu,
Sasa ndio mtajua kuwa walitoa kwa hiari au la!!Kilaza zaidi ya wewe unaesujudu usipowajua
Walitoa pesa kwa mapenzi yao sisi tangu awali tulideclare hatuhitaji mikopo ya COVID