Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #1,241
Kwa hiyo hilo ndio jibu lenu????? Sasa subiri uone matokeo ππWewe Utopolo tumechukue ili kurudisha mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni. Hivyo hawatudai hata senti moja ya hizo pesa walitoa kwa hiari yao.
Mkuu thread yako imebuma ulisema eti Bunge la EU limeadhimia ule utopolo wako wakati si kweli bali ni mjumbe mmoja beberu wa Lissu na bwana yenu Amsterdam ndiyo waliwaletea utopolo na wewe ukakimbia kuposti humu JF sasa naona unaabika kiume. Pole sana mkuu.
Kwani hatujui hizi propaganda zenu zilianza awamu ya JK na wabunge mnawatumia ni walewale?Propaganda mfu zimeshabuma,kuwaambia watu timamu sijui ushoga kama sababu ni dharau ya hali ya juu!
We both know kwanin nchi imefika hapa tulipo!Hizi danadana ni kazi bure,we know why!
Na wameshasema sasa waiangalie Tanzania kwa umakini zaidi. Hakuna mambo ya kwenda kwa back door tenaHatuwezi broo.. Izo ni mbwembwe za Bongo comedy. Hapa wakiamua kutukazia mtarudi kwa mlango wa nyuma kupiga magoti na kulamba miguu turudishiwe misaada..
Fedha ziliombwa kukabili athari za baada ya corona kwisha yaani huyo aliyetoa tamko ameuliza swali wakati alitangulia kutoa jibu.Naona unanaribu ku bend objective ya tamko lenyewe. Swali ni simple hela zilitumika wapi wkt corona tulikuwa hatuna?
Kuna kilaza zaidi yako? Thread yako imebuma! Hakuna cha azimio la EU wala nini bali ni utopolo tu wa mbunge mmoja kama ambavyo hapa TZ wabunge wenu walivyokuwa wanatoa utopolo bunge lililopita.Kwa hiyo Euro Mil 27 hamkuwai kuomba??? Uko lumumba mmejaa certified vilaza eeeh???
Sisi tunataka kujitegemea siyo kuegemea kwa mtu kama wana CHADEMA wanavyoliliaUsije ukajidanganya kumwegemea mchina unapokuwa matatizoni, mchina atakusukumizia kwenye matatizo makubwa zaidi.
Jivike fikra lakini mtafiti mchina vizuri.
Tanzania ni Taifa kubwaHAWA HAWA MAPUMBAVU YA LUMUMBA WALIWAHI KUTUAMBIA TANZANIA INA VIWANDA ELFU 8000 NA WAKATI GERMANY INA VIWANDA ELFU 4000 TU.
Tanzania ni kubwa kuliko Germany Hadi kwa viwanda????
MMEPOTOKA
RUDISHENI HELA YA WANAUME
Utasubiri sana kama ambavyo utakavyosubiri Bwana yako Lissu kuwa Rais wa JMT.
Mkuu LusungoDada unabwata sana!!
Halafu hunijui, ungenijua wala usingenijumlisha kwenye hizo pumba zako za kimalaya malaya!!
Nani anadekadeka? Nimfwate Lissu wapi?
FYI nipo ulaya na nilikuja hapa 15 years back as a top diplomat. Nikaingia kwenye highest reputable international organization ktk top positions.
Mimi ni supporter wa mageuzi ideologically na usije ukafikiri nategemea upinzani uje ubadili maisha yangu kama wewe unavyomtegemea Magufuli ayabadili maisha yako yaliyojaa dhiki na taabu tupu!!
Pole sana!!
Sisi tunataka kujitegemea siyo kuegemea kwa mtu kama wana chadema wanavyolilia
Akili za mbuzi ndo zikoje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye maisha yako, muheshimu na Kumwogopa Mungu tu, kamwe usimsujudie mwanadamu,
Zuzu wewe, ukute hapo wewe ni baba mzima unakuwa na akili kama za mbuzi.
Tulienda kuomba au wao ndio walileta?..Kama mnajitegemea mngetembeza bakuli kuomba hela huku mkisema Kuna corona wakati mmejitangaza nyie ni corona free
Tena waambie.... Kiendacho kwa mganga hakirudiSasa ndo mtajua kuwa walitoa kwa hiari au la!!
Kwa hiyo ndio mnawaletea kuburi???πππTena waambie.... Kiendacho kwa mganga hakirudi
Kwani wao wamechukua vingapi Africa wasivyoweza kulipa wala kufidia maumivu yake.
View attachment 1630390
Watanyooka this time
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tulindie rais wetu MAGUFULI John Pombe Magufuli
Sasa subiri utajua kuwa mlienda kuomba au waliwaletea bila kuombaTulienda kuomba au wao ndio walileta?..
Zile ziko katika sera zao, na wakileta hatukatai. Ila hakuna mtu kaenda kujibebisha kwao ili kutaka msaada kama Lisu alivyo fanya
Huyu Lord dening inabidi Mbowe sijui ampe cheo gani maana ana mawenge ya kushindwaTena waambie.... Kiendacho kwa mganga hakirudi
Kwani wao wamechukua vingapi Africa wasivyoweza kulipa wala kufidia maumivu yake.
View attachment 1630390
Watanyooka this time
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tulindie rais wetu MAGUFULI John Pombe Magufuli
Na hilo nalo utasubiri sana! Mara 2025 kama utakuwa hujafa na stress. Kila unapogusa unagonga ukuta. Mlisema Lissu lazima awe Rais, Watanzania wakawanyoosha mara maandamano tena watz wakawanyoosha umekuja na Azimio fake la EU nalo umenyooshwa sasa naona umehamia ICC na huko utanyooshwa tu karibuni. By the way Watz hatubabaishwi na mabeberu mkuu bali wao wanajipendekeza kwetu kwa kuwa wanajua na raslimali za kutosha.Sawasawa. Nakutonya tu, kuna la ICC lipo njiani. Hili ndo lazima mavi yagonge pichu
Unahisi hivyo vipimo.. zile response teams.. zinaoperate vipiKumbe Serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.
Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.
Zile calculations walizopiga Ndugai na Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu zimefeli miserably.