Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.

Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.

Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na Fredy Tangalu na kule Coastal kuna mtoto anafanana sana na Ally Maumba over the top, huyu allikuwa kiungo hatari sana pale Coastal, kiungo huyu anaitwa Gerard Gwalala.

Huyu dogo tema mate chini aisee

Nawaomba viongozi wa Simba watupie macho madogo hao watakuja kuniambia
 
Huyo gwalala nlikuwa nashangaa kwann anacheza coastal alafu ndidi anacheza leceister City panga pangua
Mambo ya riziqi hayo, erasto nyoni kwenye ubora wake kaishia msimbazi, halafu kuna maguire anacheza epl na tena man u.

Ditram nchimbi kacheza premier league ya bongo, na kuna mafundi kibao hata daraja la kwanza hawajagusa.
 
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.

Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.

Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na Fredy Tangalu na kule Coastal kuna mtoto anafanana sana na Ally Maumba over the top, huyu allikuwa kiungo hatari sana pale Coastal, kiungo huyu anaitwa Gerard Gwalala.

Huyu dogo tema mate chini aisee

Nawaomba viongozi wa Simba watupie macho madogo hao watakuja kuniambia
Wakati mwingine jitahidi kutumia haya maneno 'wanakufurahisha wawapo uwanjani' badala ya neno kusema eti wanakukuna sana. Kumbuka wewe ni mtoto wa kiume.
 
Kuna Najib Musa, kipa wa Pamba na kiungo mmoja yuko Dodoma jiji ana jina la kijaluo
 
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.

Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.

Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na Fredy Tangalu na kule Coastal kuna mtoto anafanana sana na Ally Maumba over the top, huyu allikuwa kiungo hatari sana pale Coastal, kiungo huyu anaitwa Gerard Gwalala.

Huyu dogo tema mate chini aisee

Nawaomba viongozi wa Simba watupie macho madogo hao watakuja kuniambia
Wachezaji wa ndani hao. Huyo Gwalala si amecheza Preliminary CC dhidi ya ile timu ya Angola, hakuna cha maana alichokuwa anafanya zaidi ya kuzunguka uwanjani kama dawa ya Mbu.
 
Kukuna na kufurahisha are two different things, kufurahishwa maana yake umekubali show yake kama wewe unavyoliwa na Hersi pale jangwani
Basi uendelee tu kukunwa na hao wachezaji wako. Maana hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom