Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

Wakati mwingine jitahidi kutumia haya maneno 'wanakufurahisha wawapo uwanjani' badala ya neno kusema eti wanakukuna sana. Kumbuka wewe ni mtoto wa kiume.
Aisee.... JF unaweza kuleta mada nzuri tu kiroho safi halafu akatokea mtu akakutafutia angle, Mandonga aliita ngumi ya suguye
 
Back
Top Bottom