SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Aisee.... JF unaweza kuleta mada nzuri tu kiroho safi halafu akatokea mtu akakutafutia angle, Mandonga aliita ngumi ya suguyeWakati mwingine jitahidi kutumia haya maneno 'wanakufurahisha wawapo uwanjani' badala ya neno kusema eti wanakukuna sana. Kumbuka wewe ni mtoto wa kiume.