Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

Keybord worrior hawa hawa au unazungumzia wengine?
 
Jamaa wamemtelekeza kampeni manager wao wa Mbowe must go akisota lupango.
Duniani hapa kuna binadamu wa ajabu sana.
 
Kuna connection gani kati ya Slaa na Lisu.
Wakati Magufuli anampiga Lissu risasi 16, Dr Slaa alikuwa Balozi huko Belgium. Hakuwahi kulaani lile tukio.

Ogopa umoja wa WANAFIKI
 
Umeandika ujinga tu
 
Lisu ana uagressive gani wa kiuongozi kwa mfano my friends ladies and gentlemen?

yaani aipeleke mpelampela serikali gani kwa mfano? Yaani makelele, porojo na mdomo ndio kupeleka serikali mpelampela? Kweli?🐒
Ntobi...... Upo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unataka TAL awekwe ndani na team yake mwamba apite kirahisi
 
 
mropokaji Lisu
Ooooh. .. Lissu tumekubaliana huyu hafai kuwa Mwenyekiti. Hana Siri. Ukifanya jambo anaenda kuropoka. Wenzie wanakubali na kuridhia yeye hataki. Amesababisha hadi dogo abdul na mama yake wadharulike. Hafai. Anafaa Mbowe. Kwa hilo Ntobi nakubiana nawe. CCM tunasema NO LISSU.YES MBOWE.
 
Lisu ana uagressive gani wa kiuongozi kwa mfano my friends ladies and gentlemen?

yaani aipeleke mpelampela serikali gani kwa mfano? Yaani makelele, porojo na mdomo ndio kupeleka serikali mpelampela? Kweli?🐒
Unadhani alipigwa risasi kisa ana silaha za kivita kama AK 47? NI HAYO MANENO UNAYOYAONA HAYANA LOLOTE
 
Walianzishe kwa matamanio yako au kwa mipango yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…