Kuna connection gani kati ya Slaa na Lisu.Wazo zuri sana ma-keyboard warriors ndio utawafahamu udhaifu wao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna connection gani kati ya Slaa na Lisu.Wazo zuri sana ma-keyboard warriors ndio utawafahamu udhaifu wao!
Keybord worrior hawa hawa au unazungumzia wengine?View attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIAMZISHENI...
Umeandika ujinga tuView attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIAMZISHENI...
Ntobi...... Upo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lisu ana uagressive gani wa kiuongozi kwa mfano my friends ladies and gentlemen?
yaani aipeleke mpelampela serikali gani kwa mfano? Yaani makelele, porojo na mdomo ndio kupeleka serikali mpelampela? Kweli?🐒
nambie mdudu manyagali mibangi, kwema gentleman?🐒Ntobi...... Upo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Keyboard warriors wanaogopa jinai, tunaposema siasa za ustaarabu mnatuona wajinga.Vijana msiwe Wapumbavu
KESI ya Dr Slaa ni jinai, sasa unalianzishaje? 🐼
Slaa ni CCM na Mbowe ni padikizi la CCM sasa hapa ni vita ya ndani kwa ndani Lissu hawezi kuingilia kati
Vijana msiwe Wapumbavu
KESI ya Dr Slaa ni jinai, sasa unalianzishaje? [emoji209]
Ndo nani huyo Ntobi?nambie mdudu manyagali mibangi, kwema gentleman?🐒
mropokaji LisuNdo nani huyo Ntobi?

Ooooh. .. Lissu tumekubaliana huyu hafai kuwa Mwenyekiti. Hana Siri. Ukifanya jambo anaenda kuropoka. Wenzie wanakubali na kuridhia yeye hataki. Amesababisha hadi dogo abdul na mama yake wadharulike. Hafai. Anafaa Mbowe. Kwa hilo Ntobi nakubiana nawe. CCM tunasema NO LISSU.YES MBOWE.mropokaji Lisu![]()
Unadhani alipigwa risasi kisa ana silaha za kivita kama AK 47? NI HAYO MANENO UNAYOYAONA HAYANA LOLOTELisu ana uagressive gani wa kiuongozi kwa mfano my friends ladies and gentlemen?
yaani aipeleke mpelampela serikali gani kwa mfano? Yaani makelele, porojo na mdomo ndio kupeleka serikali mpelampela? Kweli?🐒
halafu gentleman,Unadhani alipigwa risasi kisa ana silaha za kivita kama AK 47? NI HAYO MANENO UNAYOYAONA HAYANA LOLOTE

Walianzishe kwa matamanio yako au kwa mipango yao?View attachment 3198401