Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

Thubutu,
Nimesema humu mara nyingi Tanzania hakuna mwanasiasa mwenye watu kuna mashabiki tu tena wa mitandaoni ndio horizon yao.

Zuma alipokamatwa wafuasi wake walilianzizha na nchi ikatikisika au hapo Kenya mwanasiasa anaogopwa kwa kuwa wote hao wana watu.

Subiri tarehe 21 Januari ashindwe uchaguzi tarehe 23 januari mchakato wa kumfukuza Lissu uanze tufungue ukurasa mpya.
 
Mtamua kwa pressure mzee wa watu,msamehe hajui kilichotokea.
 
Wakati Magufuli anampiga Lissu risasi 16, Dr Slaa alikuwa Balozi huko Belgium. Hakuwahi kulaani lile tukio.

Ogopa umoja wa WANAFIKI
Nadhani alikuwa balozi Sweden,uliwahi kumsikia akimkosoa Magu?Sasa kaigia kumi na nane za mwenye kisu kikali.
 
Tayari kuna jopo la mawakili linamtetea na jumatatu atapata dhamana au ulitaka wakavunje gereza kumtoa?
 
Walianzishe kwa matamanio yako au kwa mipango yao?
Si wanadai Tundu Lissu msema kweli, basi kamtoeni Babu yenu Slaa kwa kuwa amenyimwa isivyo halali
 
Kuna uhusiano gani wa kuwa msemakweli na kumtoa Slaa ndani? Au umeishiwa na hoja boss?
Lissu si mnasema yeye hana muda wa kubembelezana na Serikali!
 
Mpeni Uenyekiti kwanza
 
Lissu si mnasema yeye hana muda wa kubembelezana na Serikali!
Acha hoja za nguvu boss. Lisu anahusika vipi na kukamatwa kwa Slaa? Naona unalazimisha jazba zako ziwe kwenye tafsiri ya asemacho Lisu. Kwanini usiseme Mbowe akamtoe kwa maridhiano maana ndio yanayotakiwa na serekali?
 
Ha ha ha machadema ya Lisu akili zao hazina akili, walimwita dokta wa mihogo, wanajiuliza walianze kwa sababu ipi wakati kiongozi wao ana faili Milembe!!
 
Embu tuone watafanya nini kumzidi Mbowe, hawajaweza hata kuzungumzia hilo jambo.
 
🤣🤣unawatuma kama watoto wadogo
 
Mpeni Uenyekiti kwanza
Anaropoka sana, hana mshipa wa kuchuja lipi aongee wapi na lipi asiongee, hana siri, anajifanya anajuwa akili kuliko watu wote.

Hafai kujaribiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…